Pixwox zombeaaโพสต์
4 ปีที่ผ่านมา
19
0
Ijapokuwa ninapokwenda sipajui, na njia ninayopitia ina mitihani mingi lakini kwa kuwa ninaimani na Mwenyezi Mungu naamini nitafika tuu. Allah Akbar, code #A15 , Yaa Allah warudhuku amalia njema wazazi wangu hapa duniani na akhera Amiin 🙏🙏🐝🐝🐝.