Hashtag: wingawakimataifaaupdates

28568 Posts

Top posts

Nilikuwa zangu busy na Maisha nimetoka zangu kazini na kazi zimenipiga ila naingia Instagram nakutana na habari njema kuhusu Yanga Afrika Wameingia mkataba wa miaka 10 wa Maudhui na Kampuni ya AZAM, bonge moja la dili, nimelipenda sana na niwapongeze Yanga, move nzuri sana Lakini katikati ya kupongeza Wananchi, nikaulizwa na Wanangu wa karibu kuwa Kwanini Simba hajasaini dili kama hilo? Tumezoea Mapacha wanaruka pamoja Binafsi nimewatazama Simba, wao walianza mapema harakati za kuwekeza kwenye mitandao (Digital Investment) waliona fursa mapema na wamewekeza sana huko Unapoenda kwao kuongea kuhusu Maudhui ni lazima wakucharge pesa nyingi sana kutokana na input yao, kifupi wanataka double ya kile walichowekeza Bado Simba anakuja kutazama kupitia YouTube (Namba ya Subscribers +Views), kisha ataenda Instagram kutazama views akipost clips na contents zingine, binafsi yeye ameiona pesa nyingi eneo hilo Simba ni moja kati ya klabu 10 bora Afrika kwenye mitandao, maana yake ni kuwa hata Maudhui (contents) zao zitakuwa juu, wapo kwenye ile scale ya Ahly na miamba mingine Point yangu ni nini? Point ni kuwa kwenye biashara kila Mtu analenga faida, kama Azam watatangaza dili kama hili la Yanga basi thamani lazima iwe tofauti, na kama waliwafuata itakuwa walishindwana hapo Ndio maana mpaka leo huko Misri ukiachana na Maudhui tu, klabu zinamiliki haki zake binafsi za Matangazo, wanaamua wao wapi wauze, hii ni kutokana na business kutengeneza win win situation Hii ni biashara kila timu ina njia zake, vipi kama Simba wamewaza kuwa na production yao na kuuza Maudhui yao wenyewe? That's business I stand to be corrected @hajismanara @antonionugaz @giftmauya @yangasc #samiasuluhu #yangasc #wcb4life #wasafimedia #wasafi #lavidavi #vplupdates #vodacompremierleague #wingawakimataifaaupdates #euro2020 #diamondplatnumzfamily #drkumbuka #samagoal77 #millardayosports #mzeempili #mapenzimubashara #mangekimambi #millardayo #cloudsdigitalupdates #cloudstv #kigoma #hatukufundishi #hivinikweli #sisinisoka #sisaiziyako #sisinimashahiditu #babalevo #bakinasisi __ #tuponawepaleulipo #harmonize
164
11
3 months ago
Baada ya Ubelgiji kupoteza dira ya soka na kupotea kwenye ramani ya dunia ya mpira. Watu fulani walipewa kazi ya kurejesha makali ya Ubelgiji. Kilifanyika kikao fulani cha siri chini ya Mkurugenzi wa michezo Michael Sablon, wakachora mpango wa kuhakikisha Ubelgiji ya soka inarejea tena. Waliridhiana mambo mengi sana. Wakaweka na mpango wa namna ya kuutekeleza. Huo mpango ukaitwa 'MISSION 2006'. Tuombe uzima siku moja nitakuja kuulezea kipengele kwa kipengele🙏. Moja kati ya mkakati ulioanishwa siku ile, ni kutengeneza akademi nane za taifa zitakazosimamia vijana wanaoandaliwa kwa ajili ya taifa. Kutoka kwenye hizo akademi, wangechujwa wachezaji bora na kupelekwa kwenye akademi moja ya taifa, kutoka hapo wangepelekwa nje ya nchi. Katika kusuka zile akademi nane za taifa, hazikutengenezwa tu ilimradi. Ulifanyika utafiti wa kutambua sehemu ambazo vipo vipaji vingi kuliko maeneo mengine ya nchi. Akademi zikatengenezwa huko. Lipo jimbo moja zilitengenezwa akademi tatu. Si kwamba maeneo ambayo hayana vipaji vingi yalitelekezwa, bali nguvu iliwekwa maeneo yaliokuwa na vipaji vikubwa sana. Wale wa maeneo mengine wakakusanywa na kupelekwa nguvu ilipowekwa. Huu mkakati ndio uliwaleta kwenye ramani Axel Witsel, Mousa Dembele na Simon Mignolet. Kumbuka hiki ni kipengele kimoja tu ndani ya 'Mission 2006'. Picha ya vijana wawili wa Yanga Afrika hapo juu inafanya nini?? Msururu wa taifa lililosheheni wavulana wenye vipaji vikubwa vya soka, unahitaji mpango sahihi tu kuwavuna na kuwapata. Njia mojawapo ya kuwavuna ni kuwa na akademi KWELI za soka za kuwalea. Hauhitaji hata akademi nyingi, akademi chache tu kwenye maeneo yaliyosheheni vipaji vikubwa kuliko maeneo mengine. Kuwa na akademi chache itarahisisha ufuatiliaji na itarahisisha gharama, lakini pia itawapa vijana muda mrefu wa kuzoeana. Ubelgiji wana kizazi cha dhahabu kilichotengenezwa kwenye akademi nane tu za serikali. Kila mara ninapokatiza mitaa ya Morogoro na kuwatazama wanachokifanya wavulana wadogo wa shule wakiwa na mpira mguuni, nagundua kwanini wabelgiji walichagua kuweka nguvu kwenye baadhi ya maeneo. Nchi hii vipo vipaji vikubwa sana vya soka, MIPANGO tu.
973
15
3 months ago
GHARIB ANATEST SUMU, WANANCHII WANAMUANGALIA TU NI SUALA LA MUDA. Habari nyeti ambazo zimepatikana kutoka huko GSM ni juu ya nafasi ya Manara ndani ya Yanga! Mliki wa GSM amekubaliana kumpeleka na kumtambulisha siku ya Mwananchi tarehe 29/8 Katika uwanja wa Taifa na baadaye kumpa nafasi ya kufanya kazi Yanga. Hilo jambo japo linafanywa siri lakini ndiyo ukweli ulivyo na hata hii propaganda ya kwamba Miquissone ndiye atatambulishwa ni Ujanja tu bali Haji Manara ndiye atakuwa Miquissone Wiki ya Mwananchii. Hili jambo la Haji Manara kwenda Yanga limeanza kuzua minong’ono mikubwa kwa wana Yanga. Wengi wa WanaYanga wanajua Manara ni Simba kindakindaki tofauti na Senzo ambaye ni Mwafrika kusini hakuwa na Usimba wowote. Kumsogeza Manara karibu na Yanga ni najisi wanasema Wanachama Waandamizi wa Yanga. Wanasema ‘ huyu Gharib hajui tamaduni za Simba na Yanga, asithubutu kufanya hivyo, yeye abaki na urafiki wake na huyo Haji asituletee Simba ndani ya Yanga. Gharib anajihisi na deni kubwa kwa Haji maana ndiye aliyemshawishi Haji kufanya ile ‘press conference’ ili kuivuruga Simba. Haji alifanya ile ‘press conference’ huku akiwa na tiketi yake ya business class, Emirates na booking ya hotel ya nyota 5 Dubai iliyolipiwa kila kitu na Gharib pamoja na $ 10,000 mfukoni za matumizi. Sasa Haji anambana Gharib kuwa yeye ni sababu ya yeye kufukuzwa Simba hivyo lazima ambebe. Maana ni ukweli kuwa Haji ule usiku alipokanusha kuwa hakuwa kwa Gharib ni kweli alikuwa kwa Gharib hapo Samora, Salamander. Kwa hiyo Gharib anajua fika yeye ndiye kamponza Haji hivyo analazimisha kumlea. Imefikia hatua Gharib anawapigia baadhi ya Waandishi na Wachambuzi wasimshambulie Haji kwa kuwa ni mtu wake. Sasa hivi hata wale Wachambuzi ambao walikuwa na hasira na Haji ambaye aliwaita takataka wametulizwa na Gharib wasimshambulie Haji. Wachambuzi wa habari wanajiuliza huo urafiki wa Gharib na Haji utakuwa wa muda gani? Kwa wale watu wasiomjua Haji watakuwa wanamtetea leo lakini ukweli kuwa ni ngumu sana kufanya kazi nae au kuishi nae Simba kuishi na Haji zaidi ya miaka 6 ni rekodi. Ngumu Sana Manara kwenda Azam kwani Tayari kashatengeneza Chuki za Kibiashara kati ya Azam na Simba @juma_shabani9
758
39
1 month ago
What is Simba? Mwalimu ni timu inayovaa jezi nyekundu, inatokea Msimbazi Kariakoo, kwasasa inapigwa baridi kali kileleni, inapigwa baridi kali Ligi ya Mabingwa na kifupi kwa ubora wao wanahitaji ulinzi wa SUMA JKT Ni nani huyu Taddeo Lwanga? Mwalimu ni soft engineer , aliesimama kama ana mikono miwili nahisi minne, aliesafiri kila upande wa mwamba kama kampuni ya DHL Nani anaikumbuka Zimbwe Theory? Mwalimu inasema "To every action there's equal and opposite reaction" maana yake Mohamed anaweza kuwa beki yoyote nchini ila sio kila beki anaweza kuwa Mohamed Hussein, what a thunderbolt The concept of Gustafa Simon? Mwalimu ni mfano wa Small area large pressure, ile ni injini ya kazi Mwalimu, kutoka Kiungo mpaka beki ya kushoto, utulivu, nguvu na akili, licha ya kimo chake bado analeta mechi nzuri Introduction to Joash Onyango! Enyi Wanafunzi wa FORM ONE, Mwalimu wenu wa Civics kasema, Joash ni matunda ya umoja wa Afrika Mashariki, ametukumbusha maana ya beki wa kati, kaeni tu na kalamu na daftari mtazameni Ni nani Clatous Chama? Mwalimu huyo ni Mpendwa wetu ambaye mpira umemchagua yeye, umesema tumsikilize yeye, atakalo liwe na apangalo litimie, Football Maestro huyo, robo tatu ya mwisho ipewe jina lake, talent Mzamiru Yassin Selembe mwenyewe anasemaje? Hana usemi ila ni rahisi kuitazama Simba yote na usimwone Mzamiru ila ukimwona Mzamiru umeiona Simba nzima, dobi wa nguo zote chafu, pasi ya mikunjo yote nguoni, What a DM Baraka Mtui na Hassan Kagoma, nadownload PDF leo, limejaa maana halisi ya viungo wakabaji, limejaa maana halisi ya pressing, limejaa maana halisi ya soka ni jasho na damu, waligusa kila nyasi ya uwanja, walifanya kila kitu kwa usahihi Na vipi kuhusu TFF? Ni kama Mjomba Shayo tu wa Mabogini Moshi, watafanya chochote ili mtambue uwepo wao @simbasctanzania @moodewji @bvrbvra #wingawakimataifaaupdates #wasafi #washikajizangu #chombokwahewa #zamaradimketema #zanzibar #azamtvapp #vodacompremierleague #vplupdates #ligikuutanzaniabara #ligikuu #babalevo #bongotrendings #bongo5updates #habarizaasubuhi #hainakufeli #harmonize #hajimanara #jasirimuongozanjia #jicholauswazi #mswahili #mobettostyles #mungu #kondegang #kenyantrends #popoteinatiki✅
202
10
2 months ago
#UDUKUZIWAWINGA 👉👉👉 upo @yousuphmkule . 𝙅𝙊𝙉𝘼𝙎 𝙈𝙆𝙐𝘿𝙀 𝘿𝙃𝘼𝙃𝘼𝘽𝙐 𝙄𝙉𝘼𝙔𝙊𝙉𝙐𝙆𝙄𝘼 𝙅𝘼𝙉𝙂𝙒𝘼𝙉𝙄..💎💎💎 . . Tukutane kwenye #UDUKUZIWAWINGA @yousuphmkule . . . 𝙆𝙒𝘼 𝙏𝘼𝘼𝙍𝙄𝙁𝘼 𝙈𝘽𝘼𝙇𝙄𝙈𝘽𝘼𝙇𝙄 𝙕𝘼 𝙐𝘿𝙐𝙆𝙐𝙕𝙄 𝙉𝘼 𝙏𝙀𝙏𝙀𝙎𝙄 𝙕𝘼 𝙐𝙎𝘼𝙅𝙄𝙇𝙄 𝙃𝘼𝙋𝘼 𝘽𝙊𝙉𝙂𝙊 𝙁𝙊𝙇𝙇𝙊𝙒 👉👉 @yousuphmkule ✔️ ©️ #wingawakimataifaaupdates #wingaulipotupo #waleosiowajana
6,896
104
2 months ago

Recent posts

Kwa mujibu wa BILD, Fc Bayern Munich 🇩🇪 wataingia kwenye kinyang'anyiro cha kuwania saini ya mshambuliaji wa Dortmund Erling Haaland 🇳🇴 kama Robert Lewandowski ataamua kuondoka mwishoni mwa msimu huu Wanatoa kitu, wanaweka kitu 🤔 Follow 👉 @sport_jungle1 #sport _jungle1update #sport #tunakuhabarishakilichoborazaidi #wasafimedia #wingawakimataifaaupdates #enjoysoccer⚽️ #sport _jungle1update #ilovethisgame #kitengemaulidi #sportarena #efmmedia #azamsports2 #azammedia #oneteamonedream #nguvumoja✊🏽 #timuborabidhaabora #sisinisokaburudaniinaendelea #sisinisoka #sisitunawatu #daimambelenyumamwiko
33
0
23 hours ago
Baada ya kukamilisha mazungumzo na kiungo wao Pedri kuhusu kuongeza mkataba wa miaka mitano, Klabu ya Fc Barcelona ipo kwenye hatua za mwisho za mazungumzo na Ansu Fati chini ya Wakala Mendes ili asaini mkataba mpya wa muda mrefu wa kuendelea kuitumikia timu hiyo Wachezaji wengine ambao wapo kwenye mazungumzo ya kuongeza mikataba yao ni Gavi, Araújo pamoja na Dembélé Follow 👉 @sport_jungle1 #sport _jungle1update #sport #tunakuhabarishakilichoborazaidi #wasafimedia #wingawakimataifaaupdates #enjoysoccer⚽️ #sport _jungle1update #ilovethisgame #kitengemaulidi #sportarena #efmmedia #azamsports2 #azammedia #oneteamonedream #nguvumoja✊🏽 #timuborabidhaabora #sisinisokaburudaniinaendelea #sisinisoka #sisitunawatu #daimambelenyumamwiko
23
0
1 day ago
Klabu ya Manchester United imethibitisha kuwa itamkosa beki wake wa kati Raphael Varane wiki kadhaa kutokana na kusumbuliwa na matatizo ya misuli aliyoyapata kwenye mchezo wa fainali ya UEFA Nations kati ya Ufaransa dhidi ya Spain 🇪🇸 Mechi zao zijazo: Leicester City (A) Atalanta (H) Liverpool (H) Tottenham (A) Atalanta (A) Man City (H) ❌ Harry Maguire ❌ Varane ☑️ Phil Jones ☑️ Lindelof ☑️ Bailly Follow 👉 @sport_jungle1 #sport _jungle1update #sport #tunakuhabarishakilichoborazaidi #wasafimedia #wingawakimataifaaupdates #enjoysoccer⚽️ #sport _jungle1update #ilovethisgame #kitengemaulidi #sportarena #efmmedia #azamsports2 #azammedia #oneteamonedream #nguvumoja✊🏽 #timuborabidhaabora #sisinisokaburudaniinaendelea #sisinisoka #sisitunawatu #daimambelenyumamwiko
43
0
2 days ago