Hashtag: wasafimedia

986858 Posts

Top posts

HII HAIPINGIKI KATI YA WATU WANAO PITIA WAKATI MGUMU HAPA TANZANIA MMOJAWAPO NI MANARA AFU ANAFATIA SABAYA 😢😢 MANARA YULE TULOKUWA TUNAMJUA SIYO WA SIKUHIZI MANARA KAPOA SANA MANARA HAJIAMINI MANARA HAFANYI KAZI KWA UPENDO KAMA ALIVYO KUWA ANAFANYAGA SIMBA manara ni mzuri kuongea ila kinacho msumbua manara huwa hazingaitii mazingira ,watu anao onge nao manara NI MNAFIKI na nimtu anaye jifanya mjuaji manara ni mtu ambaye hapendi kukosolewa huwa akiamini jambo lake huwa anajiona yupo sahihi na ndiyo maana kaachika Manara ni mtu mzuri sana kwenye kuongea ila huvuka mipaka manara aliwatukana wachezaji wa yanga sc na kuwaita ni wakuokotwa , manara alishawahi kukosana na mauld kitenge , manara alishawahi kumtukana mwandishi wa habari mbele ya halaiki ya watu WHO ARE YOU MANARA Wote tunajua manara ni special group ni mtu ambaye hajiwezi ni mtu mwenye ulemavu wa ngozi albinism tunawapenda na tunaishi nao kama ndugu LAKINI manara anapomkosea mtu na mtu akaanza kumsema manara kw ukweli huw anakimbilia kwenye ulemavu wake MANARA ni mtu anaye tesek sana ka sasa si ajabu kuja kumuona manara kapata presure, kisukari au magonjwA mengine mengine ya moyo hii no kutokana namzigo mzito anao jitwisha pasipo kujali utu ,thamani yake kwa sababu mwili yanga akili na roho vipo SIMBA kwa leo niishie hapa LEO TEAM YETU SIMBA SC IMESAFIRI KWENDA botswana kwa mchezo wa club bingwa nikiwa kama msemaji wa mashabiki wa simba sc tanzania nawaomba sote tuelekeze dua zetu kwa benchi la ufundi, wachezaji wetu ili warudi botswana na point tatu mhimu inshaalah 💪 pia usisahua kama upo dar es salam wacheki hawa wajamaa wauzaji wa magodoro waweze kukuletea godoro hadi unapo lala @wauzaji_wa_magodoro_mbezi_dar @wauzaji_wa_magodoro_mbezi_dar @sanitizerrtz @sanitizerrtz . . . . . . #sammisagotv #mwijaku #cloudstv #kondegang4everybody #bongo5updates #kingkiba #idrissultan #wasafimedia #kigoma #diamondplatnumz _trends #wasafifestival2018 #mungusaidia #alikibaunforgettabletour #simbanguvumoja #jeshi #iamzuchuep #wcbwasafi #NguvuMoja #millardayo #carrymastory #mbosso #rayvanny #amaboko #diamondplatnumz _trends
880
46
3 hours ago
Hazivumi lakini zipo. Msanii abdul Juma idd almarufu kama Lavalava ambaye yupo chini ya label ya WCB inasemekana anaweza kung'atuka daburusibi (WCB) na hii ni kufatia katika ukrasa wake wa @instagram ameweza kufuta kila kitu ambacho alipost akiwa WCB na hivyo ameweka bango la next ambayo haijulikani ni zaniniiii WCB ndiyo label kubwa kimziki hapa tanzania ukilinganisha na label zingine kiushindani kama Kingsmusic , kondegang N.K WCB licha ya kuwa na ubora huo lakini wcb ndiyo label ambayo kwa hapa TANZANIA inayopoteza wasanii bora kimzikii haijulikani.ni.kwanini lakini msanii anapo sajiliwa WCB na siku akaondoka basi hata kama alikuwa anahit kubla ya kusajiliwa wcb basi hatoweza tena kuvuma MFANO richmavoko, Q Boy msafi hawa wote wamepotea Ni msanii mmoja tu ambaye ashafanikiwa kimziki baada ya kutoka wcb naye ni harmonize JITIHADA BINAFSI 😃TATIZO LIKO WAPI , EM NGOJA NIMUULIZE KITENGE ZILE ACC ZAKE ZILIENDAGA WAPI NAKUJA NA MAJIBU SOON @sanitizerrtz @sanitizerrtz @sanitizerrtz . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . @sanitizerrtz @sanitizerrtz . . . . . . . . . . . . . . . #sammisagotv #mwijaku #cloudstv #kondegang4everybody #bongo5updates #kingkiba #idrissultan #wasafimedia #kigoma #diamondplatnumz _trends #wasafifestival2018 #mungusaidia #alikibaunforgettabletour #simbanguvumoja #jeshi #iamzuchuep #wcbwasafi #NguvuMoja #millardayo #carrymastory #mbosso #rayvanny #amaboko #diamondplatnumz #wasafi #washkajizangu #idrissultan #wcb4life #tumewasha #millardayoupdates
1,001
24
13 hours ago
KUACHA JINA LA LUIS MIQUISSONE 🇲🇿 NI KUUTUKANA MCHEZO WA MPIRA WA MIGUU 😲👇🔥 -Katika Hii tuzo ya TFF ya mchezaji bora wa ligi msimu uliopita 2020-21 kuacha jina la Luis Miquissone 🇲🇿 ni kuutukana mchezo wa miguu kwa ile Performance yake msimu uliopita akisaidia timu yake mabao 19 kwa ujumla katika mechi 25 za ligi bado asiwepo hiii imesikitisha sana. -Luis Miquissone 🇲🇿 alistahili kuwepo katika orodha ile ama kutwaa tuzo kabisa hakuna mchezaji yoyote ndani ya ligi kuu ya Tanzania bara msimu jana alikuwa na performance bora kuliko Miquissone hata ndani ya Klabu yake ya Simba 🦁 fatilia katika michuano ya Kimataifa na michuano ya ndani utakubaliana na hili. -Luis Miquissone 🇲🇿 msimu uliopita aliamua mechi nyingi sana za Simba akiibeba Simba mabegani mwake hata katika mechi ambazo Simba 🇹🇿 walionekana kukamatwa rejea mechi ya Azam fc raundi ya kwanza kwa Mkapa 2-2 na ile ya Polisi Tz pale Kirumba Mwanza. -Ni mechi nyingi sana ambazo Miquissone Ali fanya vizuri sana msimu jana na hata takwimu zinambeba ila naheshimu mawazo ya waandaaji wa tuzo kama walivyoona ila kwangu mimi hakuna mchezaji aliyefanya vizuri katika soka la Tanzania msimu jana zaidi ya Luis Josee Miquissone kijana huyu toka Mozambique 💪💪.. Credit @emanuelmwayombojr
2,572
68
15 hours ago
KUTOKA DAR ES SALAAM.... LOCATION NI MIZANI YA KARIBU NA CHALINZE 1.....🍊🐉 DRG 554- 0654 2....🍊🐉 DVB 0655 3....💎💎💎 0658 4.... Newforce DKB- 0708 5..... DPN-0709 6.... KISBO DST -0709 7.... KIDINILO 0714 8..... EXTRA LUXURY 0715 9....NGASERE 0715 10.... SIMIYU 0715 11... Mshikamano 0718 12... BURDAN 0719 13.... JINJAH 0719 14.... KAPRICON DJH- 0720 15.... ZUBERI DVA 0721 16....ISAMILO DPK 0721 17.... FRESTER 0721 18.... SWEET AFRICA 19...HAPPY NATION 20... ADVENTURE 0723 21... TUNGIS 0723 22... KIDIA 0723 23...JINJA 0724 24...TILISHO 0724 25...ABOOD 0724 26...DPK 0725 27...HAPPY 0726 28...SHABIBY 0726 29...ZUBERI DUR 0728 30...🍊🐉DMJ 0728 FOLLOW FOLLOW @northerners_buses_fans_g8 @northerners_buses_fans_g8 @northerners_buses_fans_g8 @dodoma_buses_fans_g8 @dodoma_buses_fans_g8 #KINONDONI #masaki #SINGIDA #IGUNGA #tanzania🇹🇿 #kenya🇰🇪 #uganda🇺🇬 #udom #udsm #shinyanga #mwanza #mbeya #dodoma #arusha #katoro #bukoba #bunda #MUSOMA #iringa #SINGIDA #morogoro #mtwara #MUSOMA #kigoma #zambia🇿🇲 #zanzibar #nairobikenya #mtwara #MOSHI #jumalokole #wemasepetu #wasafimedia #tinde
790
13
15 hours ago

Recent posts

Dress Price(Bei)- 28000 Size M,L,XL,XXL,3XL _ Delivery Ipo Dar es Salaam na Mikoani Pia Tunatuma kwa Gharama ya Mteja and All Neighbouring Countries 🇿🇼 🇺🇬, 🇰🇪 🇷🇼 🇧🇮 🇿🇲 🇲🇼 ___ Contact us /Kununua Piga 0716037376 0753941863 au Watsap +255716037376. __ #waah #benwakachavuitton #wakachaclothing #wcb4life #washkajizangu #wasafitv #chombokwahewa #kariako #hiiniyetusote #diamondplatnumz #tumewasha #jibebe #hiiniyetusote #sammisagonews #diamondplatnumz #rayvanny #harmonize #jibebe #tetema #millardayoupdates #sammisagonews #rayvanny #harmonize #jeje #amaboko #afroeast #alikiba #afrobongo #usiendekariakoo #vunjabeistore #vunjabei #wasafimedia #wasafifm #usiendesinza #pambakali #waah #TumewashaNaTigo
0
0
2 minutes ago
Dress Price(Bei)- 30000 Size M,L,XL,XXL,3XL _ Delivery Ipo Dar es Salaam na Mikoani Pia Tunatuma kwa Gharama ya Mteja and All Neighbouring Countries 🇿🇼 🇺🇬, 🇰🇪 🇷🇼 🇧🇮 🇿🇲 🇲🇼 ___ Contact us /Kununua Piga 0716037376 0753941863 au Watsap +255716037376. __ #waah #benwakachavuitton #wakachaclothing #wcb4life #washkajizangu #wasafitv #chombokwahewa #kariako #hiiniyetusote #diamondplatnumz #tumewasha #jibebe #hiiniyetusote #sammisagonews #diamondplatnumz #rayvanny #harmonize #jibebe #tetema #millardayoupdates #sammisagonews #rayvanny #harmonize #jeje #amaboko #afroeast #alikiba #afrobongo #usiendekariakoo #vunjabeistore #vunjabei #wasafimedia #wasafifm #usiendesinza #pambakali #waah #TumewashaNaTigo

3 minutes ago