Hashtag: timuborabidhaabora

26440 Posts

Top posts

FT:SIMBA DAY Simba SC 🇹🇿 0-1 🇨🇩 TP Mazembe 84 Jean Baleki Mechi nzuri Sana kweli ni kipimo tosha Kwa Simba katika Michuano ya Ligi ya Mabingwa na Ligi kuu Soka TZ bara. Historia imeendelea kuandikwa Simba haijawahi kumfunga Tp Mazembe ,ni kweli Simba imekutana na timu nzuri Sana Kwa levo Yao Kuna KAZI Mwalimu anapaswa kufanya katika kiwanja Cha Mazoezi. Aishi Manula anafanya uzembe mwinginee katika Mechi mbili Mfululizo za kirafiki,katika Mechi dhidi ya Aigle Noir 🇧🇮 pia alitoka golini akafungwa na Leo pia imejirudia vile vile. Simba Ina timu nzuri Sana,Kwa wachezaji wapya Bado wapewe Muda ni Wazuri Sanaa. Tamasha la mpira nchini ni Moja tuu SIMBA DAY hakika ni zaidi ya Tamasha Leo historia wameandika tenaaa. HONGERENI SIMBA🇹🇿 #Arusha #arfa #Arushasoccer #norbertmartin #mzeewaluvambala #zotezetusafii #bakinasisi _ #supersub #njookwetu #NjooKwetu #vodacompremierleague #ligikuutanzaniabara #KONAYAMZEEWALUVAMBALA #wawekezajiniwananchiwenyewe #TimuBoraBidhaaBora #tetesizausajili #TimuYawananchi #cafchampionsleague #cafconfederationcup #usikumnene #simba #yangasc #love #doordie #NguvuMoja
1,038
37
26 days ago
CHRISS KOPE MUTSHIMBA MUGALU Yes watu wengi baada ya Mechi ya Jana kuisha naona wanambeza sana huyu Mwamba The Animal Mugalu kutokana na kuputeza nafasi Nyingi za wazi. Labda niseme kwamba kupoteana katika Mchezo mmoja sio kwamba yeye sio Bora rahasha jamaaa anajuaa sana kufunga magoli na Jana alikuwa na siku mbaya kazini. Tukumbuke pia takwimu zake za msimu uliopita zilikuwaje ....asihukumiwe kwenye Mechi ya Jana. #Arusha #arfa #Arushasoccer #norbertmartin #mzeewaluvambala #zotezetusafii #bakinasisi _ #supersub #njookwetu #NjooKwetu #vodacompremierleague #ligikuutanzaniabara #KONAYAMZEEWALUVAMBALA #wawekezajiniwananchiwenyewe #TimuBoraBidhaaBora #tetesizausajili #TimuYawananchi #cafchampionsleague #cafconfederationcup #usikumnene #simba #yangasc #love #doordie #NguvuMoja
1,066
140
19 days ago

Recent posts

#VIINGILIO Viingilio rasmi vya mchezo wetu wa kesho Jumamosi dhidi ya Pyramids ni Sh. 10,000 kwa majukwaa ya mzunguko na Sh. 15,000 kwa V.I.P. Ni mashabiki 2,000 tu watakaoruhusiwa kuingia kwenye mchezo huo wa raundi ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika. Mashabiki wengine mnaruhusiwa kuja kuangalia kupitia luninga kubwa itakayofungwa na kampuni ya @natkern_tz kwenye geti namba moja la viunga vya Azam Complex. #CAFCC2021 #WeAreAzamFC #TimuBoraBidhaaBora #KimyaKimya #AzamEnergyDrink #SARAFU #AzamUngaNambariMoja #AzamUkwaju #AzamIceCream #AzamMangoCrush #AzamStrawberry #UhaiDrinkingWater #TradegentsTanzaniaLimited
12
0
53 minutes ago