Hashtag: sportarena

32290 Posts

Top posts

389
6
2 months ago
109
3
1 month ago
Hatuna jambo dogo.. Timu ya wananchi timu pendwa nchini timu yenye misingi ya maendeleo ya soka, Leo tumetembelea vituo vya watoto wenye uhitaji tumefurahi nao pamoja na tumetoa baadhi ya mahitaji madogo madogo. Waoh.. follow @yangasptz follow @yangasprtz #timuyawananchi #kigoma #asfc #mpiraniurafiki #mpiraniumoja⚽ #sisitunawatu #kitengeupdates #mpenjatv #manaratv #sportarena #wasafimedia #azammedia #azamsports2 #azamsportshd #yangatv #ligikuutanzaniabara #kariaout #kariakooderby
276
1
2 months ago
Wenn es um Sport geht … 👍🏻 #sportarena 🐎🏃🏻‍♀️👩🏻‍🦽⚽️🏓🎾🏀 #srfernsehen
138
1
2 months ago
Team ya @simbasctanzania 🦁 itacheza match ya kirafiki na team ya FAR RABAT inayonolewa na aliekuwa kocha wa zamani wa Simba sven kesho tareh 21.08.2021 saa 12 jion kwa majira ya Tz #nguvumoja #wasafi #misssimbasportsclub #sportarena
150
0
1 month ago
Afisa habari wa Rivers United Charles Mayuku inadaiwa kakamatwa na makomando akifanya vitendo vya kishirikina . #sportarena #tumerudirasmi #kidosportupdates #cafchampionsleague #riverUnited #yangamakaomakuu #yangasc #DaimaMbeleNyumaMwiko #timuyawananchi #wananchikazini
135
5
1 month ago

Recent posts

“Tunahitaji kushinda hiyo mechi dhidi KMC hatuwezi kushinda kwa ukubwa wa jina la klabu tunatakiwa kuwa bora uwanjani na ndio maana nataka ratiba ya kila mchezaji ahudhurie (na waliokuwa timu zao za Taifa) ili tuwe na ubora unaolingana". Kocha Mkuu wa Yanga Sc - Nabi #Mpoto13 #bakinasisi __kimichezo_zaidi #bakinasisi __ #yangasc #tanzaniabara #simba #daimambelenyumamwiko #sisitunawatu #soccer #africasoccer #afrika #sporthorse #sportarena #sportshqefm #sporthq #maishamichezo #maishanisoka #caf #azamtv #tanfootball #tanzania #egypt
7
0
11 minutes ago
𝗧𝗔𝗞𝗪𝗜𝗠𝗨 𝗭𝗔 𝗠𝗨𝗡𝗧𝗔𝗥𝗜. Sulley Muntari 🇬🇭 ni miongoni mwa wachezaji wa kiafrika walifanikiwa zaidi katika historia ya soka la Ulaya . Seria A 🏆🏆 Copa Italia 🏆🏆 Super Copa Italian 🏆 Uefa Champions League 🏆 FIFA World Club Cup 🏆 FA Cup 🏆 We unamkubuka kwa jambo gani katika historia ya Soka lake ?? Dodosha chini Comment tulete Takwimu za mchezaji gani. #Mpoto13 #bakinasisi __kimichezo_zaidi #bakinasisi __ #yangasc #tanzaniabara #simba #daimambelenyumamwiko #sisitunawatu #soccer #africasoccer #afrika #sporthorse #sportarena #sportshqefm #sporthq #maishamichezo #maishanisoka #caf #azamtv #tanfootball #tanzania #egypt
12
0
1 hour ago
𝗠𝗧𝗜𝗕𝗪𝗔 𝗪𝗔𝗣𝗢 𝗧𝗔𝗬𝗔𝗥𝗜 𝗞𝗪𝗔 𝗠𝗖𝗛𝗘𝗭𝗢. 🗣️ " Tumefika salama Geita na tumejiandaa vizuri kucheza mchezo wa kiungwana hapo kesho dhidi ya Geita Gold" Kocha wa Makipa - Soud Slim 🗣️ "Tumekuja Geita kuchukua alama tatu na si vinginevyo, Mashabiki wa mpira mzuri wasogee kupata burudani kutoka Manungu" Nahodha wa Mtibwa - Dickson Daudi NBC PREMIER LEAGUE 🥏 Geita Gold vs Mtibwa Sugar ⏰ Kick off 16:00 🏟️ Nyankumbu, Geita 🗓️ October 16, 2021 #Mpoto13 #bakinasisi __kimichezo_zaidi #bakinasisi __ #yangasc #tanzaniabara #simba #daimambelenyumamwiko #sisitunawatu #soccer #africasoccer #afrika #sporthorse #sportarena #sportshqefm #sporthq #maishamichezo #maishanisoka #caf #azamtv #tanfootball #tanzania #egypt
25
0
2 hours ago
𝗠𝗪𝗔𝗞𝗔 𝗛𝗨𝗨 𝗧𝗨𝗡𝗔𝗧𝗔𝗞𝗔 𝗞𝗨𝗙𝗜𝗞𝗔 𝗡𝗨𝗦𝗨, 𝗞𝗟𝗔𝗕𝗨 𝗕𝗜𝗡𝗚𝗪𝗔 𝗔𝗙𝗥𝗜𝗞𝗔. 🗣️ "Mwaka huu tuna malengo makubwa na Ligi ya Mabingwa Afrika, Lengo letu angalau kufika hatua ya Nusu Fainal" Kocha Mkuu Simba Sc - Didier Gomez Nb; Maneno wasiyatupe tuu sisi yetu macho 😁😁 #Mpoto13 #bakinasisi __kimichezo_zaidi #bakinasisi __ #yangasc #tanzaniabara #simba #daimambelenyumamwiko #sisitunawatu #soccer #africasoccer #afrika #sporthorse #sportarena #sportshqefm #sporthq #maishamichezo #maishanisoka #caf #azamtv #tanfootball #tanzania #egypt
26
0
4 hours ago
𝗬𝗔𝗡𝗚𝗔 𝗡𝗔 𝗔𝗭𝗔𝗠 𝗪𝗔𝗥𝗨𝗗𝗜 𝗞𝗪𝗔 𝗠𝗞𝗔𝗣𝗔. Yanga Sc wameurudisha mchezo wa Ligi kuu Tanzania (NBC PREMIER LEAGUE) katika dimba la Mkapa kama ulivyopanga awali lakini wao wakahamishia Arusha, sasa rasmi wameuridisha Dar - Mkapa. 🚧 Yanga Sc vs Azam Fc 🗓️ October 30, 2021 🏟️ Benjamin Mkapa Nb; Sasa Arusha walitaka nini jamaani tusaidiane 😁😁 #Mpoto13 #bakinasisi __kimichezo_zaidi #bakinasisi __ #yangasc #tanzaniabara #simba #daimambelenyumamwiko #sisitunawatu #soccer #africasoccer #afrika #sporthorse #sportarena #sportshqefm #sporthq #maishamichezo #maishanisoka #caf #azamtv #tanfootball #tanzania #egypt
11
0
4 hours ago
YANGA YAIRUDISHA AZAM DAR . Ishu ya timu za Ligi Kuu kuamua kubadilisha viwanja katika baadhi ya mechi zao za nyumbani, zimekuwa zikiwachanganya mashabiki wa soka na taarifa ambayo UONGOZI wa Yanga umeitoa ni kuwa umeamua mechi yao na Azam FC itapigwa Dar na sio Arusha kama ilivyoomba hapo awali. . Yanga ambao watakuwa wenyeji mechi yao itapigwa kwenye uwanja wa Mkapa, Dar siku ya Oktoba 30. . ………………. #MillardAyoUPDATES #wasafiDigital #Tanzania #NguvuMoja #WasafiSPORTS #MzeeWaKudere #ZandaaaniKabisa #Kudere #SportArena #KivumbiSokaLaNyumbani #GoodMorning #HabariYaAsubuhi #Mgahawa #ChekaTu #kurasazamagazeti
37
0
4 hours ago