Hashtag: sisitunawatu

11149 Posts

Top posts

𝗪𝗔𝗡𝗔𝗝𝗘𝗦𝗛𝗜 𝗪𝗔 𝗠𝗣𝗔𝗞𝗔𝗡𝗜 𝗩𝗜𝗧𝗔𝗡𝗜 𝗟𝗘𝗢. Biashara United kazini leo dhidi ya Al Ahly Tripod katika dimba la Mkapa huku kukiwa na mashabiki 2000. : : Kimsingi Biashara ni timu ambayo bado haina nafasi kubwa ya kufanikiwa katika michuano ya kimataifa ila inafikilisha kile ambacho kilitokea kwa Namungo nao kinaweza kutokea. : : Wanajeshi wa mpakani wamejipanga sawa sawa kwa Biashara nzuri baadae baada ya kujua kuwa Kuna faida na hasara yake. Kila la Kheri Wanajeshi wa Mpakani #Mpoto13 #bakinasisi __kimichezo_zaidi #bakinasisi __ #yangasc #tanzaniabara #simba #daimambelenyumamwiko #sisitunawatu #soccer #africasoccer #afrika #sporthorse #sportarena #sportshqefm #sporthq #maishamichezo #maishanisoka #caf #azamtv #tanfootball #tanzania #egypt #skysportsnews #skysports #brsport #caf
182
1
17 hours ago
UTABIRI WANGU LIGI KUU NBC MSIMU HUU 2021-2022. 1.BINGWA LIGI KUU NBC @yangasc 2.MCHEZAJI BORA @feisal194 3.KIUNGO BORA @auchokhalidofficial 4.BEKI BORA @yanick_bangala4 5.KIPA BORA @djiguidiarraofficial 6.MFUNGAJI BORA @mayelefiston 7.KOCHA BORA @nasreddine__nabi 8.MCHEZAJI BORA CHIPUKIZI MTANIPA NA NYIE. Anayebisha tukutane mwisho wa Msimu 2021-2022. #daimambelenyumamwiko #timuyawanchi #sisitunawatu #mshikemshikeviwanjani #yangatv
108
2
2 days ago
Ivi makame yupogo wapi siku izi !!? ... Alafu Wewe Unakumbuka nini ukimuona makame mimi binafsi nkimuonaga nakumbuka mengi ila kikubwa zaidi hua nakumbuka kubwa kuliko 😁 📌yule mtoto namtafuta anae jua upatikanaji wake anicheki DM kuna jezi zake 2 ya njano na kijani .. ... .. . . . ... .. . .. ... . . . . . .. ... ... ... #kaziiendelee #kilimo #ligikuutanzaniabara #azammedia #yangasc #azamsports2 #homeofchampions #zanzibar #simbaday2021 #yangasc #ulipotupo #simbasc #vichekesho #simbanguvumoja #arusha #sisitunawatu #timuyawananchi #mabingwawakihistoria #kingkiba #daressalaam #diamondplatnumz #watapatatabusana #wasafi #thereturnofchampions #udaku #manara #mekumjanja #nguvumoja .
2,364
74
2 days ago
Maneno yana semwa mengi ila wewe kama wewe unasemaje au una maoni gani kuusiana na saido ntibanzokinza !? Mimi maoni yangu nlishayatoa siku nyingi kwa tulio kuwa pamoja tangu ile siku anafunga goli hashangilii alafu anaomba sub kisa alianzishiwa bench Na kumbuka ile ilikuwa yanga ya kina sarpong nnchimbi na wengineo sasa hii ambayo makambo anaanzia bench sijui itakuwaje upande wake na hapendi kuanzia bench .. ... .. . . . ... .. . .. ... . . . . . .. ... ... ... #kaziiendelee #kilimo #ligikuutanzaniabara #azammedia #yangasc #azamsports2 #homeofchampions #zanzibar #simbaday2021 #yangasc #ulipotupo #simbasc #vichekesho #simbanguvumoja #arusha #sisitunawatu #timuyawananchi #mabingwawakihistoria #kingkiba #daressalaam #diamondplatnumz #watapatatabusana #wasafi #thereturnofchampions #udaku #manara #mekumjanja #nguvumoja #azamfc
1,294
35
2 hours ago
#MaticsDigitalUpdates ...Ni jambo zuri za kwa beki wa Kitanzania kupostiwa kwenye ukurasa rasmi wa kombe la dunia Inamaanisha kuwa @official_mohamedhussein15 uwezo wake na jitihada zake zimeonekana Tena akipambananishwa na beki wa kushoto bora kabisa Al Maaloul wa Al Ahly Hongera sana kwake haya tukampigie kura basi kijana wetu pale @fifaworldcup . . Follow Us @maticsdigital & Turn on Notification ili usipitwe na Update . . #ThisIsafrica #AfricaIsWatching #WasafiDigital #cristianoronaldo🔥 #theswitch #lavalava #wcbwasafi #wasafitv #wasafifm #cloudsmedia #cloudstv #udakutz #carrymastory #umbea #mwananchiday #sisitunawatu #iyochallenge #challenge #manara #cloudsdigitalupdates #simbaday #diamondplatnumz #rayvanny #harmonize #simbasc #yangasc #swahilination #ulipotupo #followme
551
7
4 days ago
Za chini ya Kapeti nasikia Tutaenda Ghana kucheza na @asantekotokosc ndio wanetuma Mwaliko wao. Timu hii inatisha sana lakini wataalamu Cedric kaze na professor Nabi wanakwambia bado haijafikia hata nusu ya wanavyotaka iwe. Kusimama kwa ligi wiki 2 naona itatupa fursa nyingine ya kujiimalisha zaidi huku walimu wakifanyia kazi mapungufu yaliyojitokeza kwenye mechi hizi tatu za ligi kuu, huku focus kubwa ikiwa kuzitumia vizuri nafasi tunazotengeneza(kufaunga) #daimambelenyumamwiko #timuyawananchi #sisitunawatu
135
5
10 days ago

Recent posts

0
0
2 minutes ago
🔰Nachukua fursa hii kuwapongeza viongozi kwa maamuzi mazuri ya kurudisha mchezo wa Ligi kuu dhidi ya Azam Uwanja wa Mkapa Hii ndio maana halisi ya Timu ya Wananchi Sasa jukumu lililo Baki ni kuufanyia promotion mchezo huu mpka uwanja ujae Mimi bado naamini mechi kati ya Yanga na Azam ni mechi kubwa Sana , Azam ni mshindani halisi wa Yanga kuliko hata Simba, Simba ni mtani wetu Ila linapokuja suala la uwanjani Azam huwa anatupatia mechi ngumu Mara ya mwisho uwanja wa Mkapa kujaa nje ya Simba vs Yanga ilikuwa mwaka 2013 mechi ya Yanga Vs Azam Naamini rekodi hii inaenda kuvunjwa mwaka huu Tena , kikubwa tuandae utaratibu mzuri wa kuuza tiketi mapema na promosheni za kutosha ambapo @hajismanara ni champions katika Hilo #follow @mo_carter26 @mo_carter26 @mo_carter26 kwa habari na updates za Yanga Sc : : . . : #kaziiendelee #kilimo #ligikuutanzaniabara #azammedia #yangasc #azamsports2 #homeofchampions #zanzibar #simbaday2021 #yangasc #ulipotupo #simbasc #vichekesho #simbanguvumoja #sisitunawatu #timuyawananchi #mabingwawakihistoria #kingkiba #daressalaam #diamondplatnumz #watapatatabusana #wasafi #thereturnofchampions #udaku #manara #nguvumoja #imaniupendomiujiza #mo _carter26
3
2
26 minutes ago
“Tunahitaji kushinda hiyo mechi dhidi KMC hatuwezi kushinda kwa ukubwa wa jina la klabu tunatakiwa kuwa bora uwanjani na ndio maana nataka ratiba ya kila mchezaji ahudhurie (na waliokuwa timu zao za Taifa) ili tuwe na ubora unaolingana". Kocha Mkuu wa Yanga Sc - Nabi #Mpoto13 #bakinasisi __kimichezo_zaidi #bakinasisi __ #yangasc #tanzaniabara #simba #daimambelenyumamwiko #sisitunawatu #soccer #africasoccer #afrika #sporthorse #sportarena #sportshqefm #sporthq #maishamichezo #maishanisoka #caf #azamtv #tanfootball #tanzania #egypt
14
0
45 minutes ago
Maneno yana semwa mengi ila wewe kama wewe unasemaje au una maoni gani kuusiana na saido ntibanzokinza !? Mimi maoni yangu nlishayatoa siku nyingi kwa tulio kuwa pamoja tangu ile siku anafunga goli hashangilii alafu anaomba sub kisa alianzishiwa bench Na kumbuka ile ilikuwa yanga ya kina sarpong nnchimbi na wengineo sasa hii ambayo makambo anaanzia bench sijui itakuwaje upande wake na hapendi kuanzia bench .. ... .. . . . ... .. . .. ... . . . . . .. ... ... ... #kaziiendelee #kilimo #ligikuutanzaniabara #azammedia #yangasc #azamsports2 #homeofchampions #zanzibar #simbaday2021 #yangasc #ulipotupo #simbasc #vichekesho #simbanguvumoja #arusha #sisitunawatu #timuyawananchi #mabingwawakihistoria #kingkiba #daressalaam #diamondplatnumz #watapatatabusana #wasafi #thereturnofchampions #udaku #manara #mekumjanja #nguvumoja #azamfc
1,294
35
2 hours ago
𝗧𝗔𝗞𝗪𝗜𝗠𝗨 𝗭𝗔 𝗠𝗨𝗡𝗧𝗔𝗥𝗜. Sulley Muntari 🇬🇭 ni miongoni mwa wachezaji wa kiafrika walifanikiwa zaidi katika historia ya soka la Ulaya . Seria A 🏆🏆 Copa Italia 🏆🏆 Super Copa Italian 🏆 Uefa Champions League 🏆 FIFA World Club Cup 🏆 FA Cup 🏆 We unamkubuka kwa jambo gani katika historia ya Soka lake ?? Dodosha chini Comment tulete Takwimu za mchezaji gani. #Mpoto13 #bakinasisi __kimichezo_zaidi #bakinasisi __ #yangasc #tanzaniabara #simba #daimambelenyumamwiko #sisitunawatu #soccer #africasoccer #afrika #sporthorse #sportarena #sportshqefm #sporthq #maishamichezo #maishanisoka #caf #azamtv #tanfootball #tanzania #egypt
15
0
2 hours ago