Hashtag: sisinisokaburudaniinaendelea

1475 Posts

Top posts

Wanajeshi wa mpakani Biashara United nao hawapoi wanataka kufanya vizuri kimataifa wanahusishwa na kuitaka saini ya mshambuliaji wa Yanga sc Ditram Nchimbi Ili kuboresha kikosi chao kuelekea katika kombe la shirikisho barani Africa. #wanajeshiwampakani #biasharaunitedfc #usajili #usajilibongo🚩 #tetesizasoka #tetesizausajilibongo #mpiraniumoja #nguvumoja💪 #sokaletukivyetuvyetu #sokalatanzania #sisinisokaburudaniinaendelea #soccerwayanad #yangawhatsapponfire🔥🔥 #yangascyamakombe🏆2⃣7⃣🏆🇹🇿 #daimambelenyumamwiko🔥🔥💚💛
115
0
2 months ago
Tuko pamoja na ndugu yetu @walterbwalya994 naona hupo na captain wetu beki kisiki @laminebenomar #sisinisokaburudaniinaendelea #daimambelenyumamwiko
413
20
7 months ago
#tête na mipango ya kufanya vizuri katika michuano ya kimataifa.. Hawa ndio wachezaji walio kwenye rada yao ili kuboresha kikosi chao na kufanya vizuri katika michuano ya kimataifa. #wanajeshiwampakani #biasharaunitedfc #usajili #tetesizausajili #usajilibongo #sisinisokaburudaniinaendelea #sokamaridhawa #sokakilevi #bongobahatimbaya #usajilibongo🚩 #kandayaziwa
152
3
2 months ago
Inasemekana kunguru wa Lubumbashi (TP Mazembe) wako serious na fundi wa kandanda Faysal Salumu(Feytoto) wako katika vita ya kuhakikisha wanaipta saini ya mchezaji huyo..... Wakati wananchi wanawaza Kuwa bora msimu ujao Kwa kushusha makombora mazito huku imekuja pesa ndefu kwajili ya Faysal.. #yangawhatsapponfire🔥🔥 #yangasc #wananchi #sisilatifachallenge #burudaniinaendelea #sisinisokasheva _21 #sisinisokaburudaniinaendelea #burudaniisiyoumiza #yangawhatsapmakaomakuu #sokakilevi #mpiramkubwa
130
7
2 months ago
Ndugu Mabibi na Mabwana kutoka kulia Ni Rafiki yangu Mkubwa Sana 💪 @kibudenis8_official . Huyu ndye Mtaalamu wakuchana Nyavu Sasa 🤣. Kila lakheri Kaka Kibu katika Majukumu yako . #sisinisokaburudaniinaendelea #bakinasisi #bakinasisi _ #bakinasisi __ #kipakatoka #azphotographer #azamtvapp #azamtv
169
3
25 days ago
"Manchester United Ubeatean Away" . Klabu ya Manchester United ya Ole Solkajer haijapoteza mchezo wowote wa Ugenini (Away) msimu wa mwaka 2020/2021. . Manchester United imecheza michezo 19 ya away na kushinda Michezo 12 na kusare michezo 7 tu.Miaka ya nyuma baadhi ya vilabu vilifaya hivo. . Klabu ya Arsenal ya Arsene Wenger Ilifanya mara mbili mwaka 2001/2002 pia mwaka 2003/2004.Preston North End Ilifanya hivo msimu wa mwaka 1888/1889. . Manchester United imemaliza nafasi ya pili Ikiwa imekusanya alama 74 katika michezo 38. Na wapo Fainali ya Michuano ya Euroep league 🏆 watakipiga dhidi ya Villarreal,utakaopigwa Gnansk May 26. . @nikokajange_7 @iam_lissu @dar_sportsweartz @juma_shabani96 . . . . . #sokaonlineupdates⚽ #sisinisokaburudaniinaendelea #nikokajangeupdates🇹🇿✍️ #njookwetu #daimambelenyumamwiko🔥🔥💚💛 #roadtochampion🏆
109
4
4 months ago

Recent posts

Wewe Ni Baba Wa Watoto 22 Katika Watoto Wote Hao ,Kwabahati Mbaya 11 Wakawa Na Matatzo Ya Viungo . Lakini kwa Neema Ya Mwenyezi Mungu ,Wakaja Madaktari Bingwa wa Viungo Hospital moja Hko JANGWANI ,Daktari No1. @feisal194 Kutoka Unguja Daktari No2 @auchokhalidofficial Kutoka Uganda. . Wewe kama Baba Ukabahatika kuonana na Madaktari Wote wawili na Ukapewa nafasi ya kuondoka na Dr. Mmoja kutokana na Uhitaji wako wa Haraka ,Kumbuka wanao wapo kwenye Hatari sana .Na Madokta wote ni watàalam kweli kwelii wanatibu na Kufundisha kanuni zote za Afya. . Je! Wewe kama Baba utaondoka na Dr. Yupi? Chagua Dr. Bila kukurupuka. . Nb: Madaktari Gani wanavaa Bukta. . #sisinisokaburudaniinaendelea #bakinasisi #bakinasisi _ #bakinasisi __ #kipakatoka #azphotographer #azamtvapp #azamtv #burudaniisiyoumiza #nguvumoja #daimambelenyumamwiko #tuponawepaleulipo #tunagusamaishayako #wananchi #hainakufeli #zodiacsigns
27
0
2 hours ago
Tatizo la nguvu za kiume lina vyanzo vingi ambavyo mara nyingi wengi huvipuuza, hivyo vyanzo huathiri taratibu na vingine huathiri kwa haraka, hivyo unapotaka kutatua changamoto yako kuwa makini sana ili kujitibu kwa usahuhi na kujiimarisha vizuri. . Kuna mambo yanayoweza kukuweka hatarini kupata tatizo la nguvu za kiume nayo ni pamoja na:- ●Kuwa na halemu (Cholesterol) kwenye mishipa ya damu na mishipa ya uume ●Kuvuta sigara na unywaji wa pombe kupita kiasi ●Kuwa Na Uzito Mkubwa au Kitambi ●Ulaji holela wa vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi. (Ulaji mbovu) ●Kisukari na Presha ●Kuwa na mawazo na wasiwasi ●Matumizi ya madawa ya kuboost nguvu za kiume ●Umri mkubwa ●Kutokufanya mazoezi mara kwa mara ●Kuwa na tatizo la kibofu cha mkojo pamoja na Kukojoa kwa shida. (Tenzi Dume) ●Kujichua kwa mda mrefu ●Kutopata usingizi kamili. Kukosa kulala vya kutosha ●Matumizi makubwa ya dawa zenye kemikali za kutibia magonjwa kama kansa, vidonda vya tumbo, moyo, kisukari, B.P, na magonjwa mengine. ●Upungufu wa Madini Ya Zinc, Selenium Na Kushuka Kwa Hormones Za Kiume Je Umegundua Ni Sababu zipi zimekupelekea Kuwa Na Changamoto Ya Upungufu Wa Nguvu Za Kiume ?? . Niandikie Ujumbe whatsapp sasaivi kwenda 0678903692 ili Niweze Kukushauri 👇👇👇 . DM/Call/ 0678903692 . . . . . #morrison #modewji #millardayosports #michezo #milladayo #sisinisokaburudaniinaendelea #azamsports1hd #asas #alikiba #simba #dodoma #daressalaam #mwanza
9
1
4 hours ago
Kwa mujibu wa BILD, Fc Bayern Munich 🇩🇪 wataingia kwenye kinyang'anyiro cha kuwania saini ya mshambuliaji wa Dortmund Erling Haaland 🇳🇴 kama Robert Lewandowski ataamua kuondoka mwishoni mwa msimu huu Wanatoa kitu, wanaweka kitu 🤔 Follow 👉 @sport_jungle1 #sport _jungle1update #sport #tunakuhabarishakilichoborazaidi #wasafimedia #wingawakimataifaaupdates #enjoysoccer⚽️ #sport _jungle1update #ilovethisgame #kitengemaulidi #sportarena #efmmedia #azamsports2 #azammedia #oneteamonedream #nguvumoja✊🏽 #timuborabidhaabora #sisinisokaburudaniinaendelea #sisinisoka #sisitunawatu #daimambelenyumamwiko
33
0
22 hours ago
Baada ya kukamilisha mazungumzo na kiungo wao Pedri kuhusu kuongeza mkataba wa miaka mitano, Klabu ya Fc Barcelona ipo kwenye hatua za mwisho za mazungumzo na Ansu Fati chini ya Wakala Mendes ili asaini mkataba mpya wa muda mrefu wa kuendelea kuitumikia timu hiyo Wachezaji wengine ambao wapo kwenye mazungumzo ya kuongeza mikataba yao ni Gavi, Araújo pamoja na Dembélé Follow 👉 @sport_jungle1 #sport _jungle1update #sport #tunakuhabarishakilichoborazaidi #wasafimedia #wingawakimataifaaupdates #enjoysoccer⚽️ #sport _jungle1update #ilovethisgame #kitengemaulidi #sportarena #efmmedia #azamsports2 #azammedia #oneteamonedream #nguvumoja✊🏽 #timuborabidhaabora #sisinisokaburudaniinaendelea #sisinisoka #sisitunawatu #daimambelenyumamwiko
23
0
1 day ago