Hashtag: sisinisoka

158996 Posts

Top posts

Gomes ameshinda ligi kuu,ameshinda FA na amefika robo fainali CUF campions league na ndiye atakayetoa kipa bora,beki bora,mfungaji bora, kiungo bora, mchezaji bora, Sijui mmenielewa......? 🖊️🖊️🖊️ Fanya uzalendo kwa kunifollow mwanamichezo wenu @simbasctaznia @simbasctaznia . . . . 📌habar za michezo 🚦follow @simbasctaznia . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . #Usajili2021 #simba #yanga #simba #simbajerseychallenge #simbavsyanga #barakampenjachallenge #nguvumoja #hajimanara #azamsports2 #azamtvupdates #ligikuutanzaniabara #sisinisoka #sisinimashahiditu #nguvumoja #wapendasokaupdates #daimambelenyumamwiko #tbt #millardayosports #millardayoupdates #cloudstvtz #tiktok #ligikuu #sportpesa #ushindindokawaidayetu #vpl #dance #TotalCAFCL #asfc #simbasctanzania1 #WasafiSPORTS
357
2
5 hours ago
Hivi kweli JOB ni wakushindanishwa na KAPOMBE+TSHABALALA?? Sometimes tunaukosea heshima mpira wetu😢 Unapomzungumzia DICKSON JOB unatakiwa kuzungumzia watu kama VIRJL VAN DIJK, RUDGER, N.K 😢hii category imenihuzunisha sana . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . #sisinisoka #yangatv #daimambelenyumamwiko #yangasc #yanga #yangampya #yangascbingwaupdates #sisinimashahiditu #timuyawananchi #ligikuutanzaniabara #watapatatabusana #mabingwawakihistoria #simbasc #azamsports #simbasctanzania #simbasportsclub #simbanguvumoja #mabingwawakihistoria #nguvumoja #zanzibar #ulipotupo #udakutz #oneteamonedream #chombokwahewa #daressalaam #kariakoo #wasafitv #theclubaboveall #rayvanny #diamondplatnumz
824
31
1 day ago
@shaffihdauda_ anasema hivi 👇 Safari hii Simba inacheza mechi mbili ikishinda kwa aggregate inafuzu hatua ya makundi. Kuna kitu kimoja ambacho nafikiri watu wengi hawajakigundua, imekuwa tofauti na ambavyo tulikuwa tumezoea miaka mingi nyuma timu za Tanzania kukutana na vigogo wa Afrika kwenye hatua za mapema lakini safari hii Simba inakutana na Jwanang Galaxy ua Botswana. Maana yake ni kwamba hata hao wakubwa wanahofia kukutana na Simba katika hatua hizi kwa sababu wanajua wanaweza kutoka wasifike hatua ya makundi. Kwa hiyo hata kama kuna mambo yanafanyika basi ni kuikwepa Simba kwa sababu sio ngazi tena kama ilivyokuwa zamani.
3,370
47
2 days ago
-KUACHA JINA LA LUIS MIQUISSONE 🇲🇿 NI KUUTUKANA MCHEZO WA MPIRA WA MIGUU 😲👇🔥 -Katika Hii tuzo ya TFF ya mchezaji bora wa ligi msimu uliopita 2020-21 kuacha jina la Luis Miquissone 🇲🇿 ni kuutukana mchezo wa miguu kwa ile Performance yake msimu uliopita akisaidia timu yake mabao 19 kwa ujumla katika mechi 25 za ligi bado asiwepo hiii imesikitisha sana. -Luis Miquissone 🇲🇿 alistahili kuwepo katika orodha ile ama kutwaa tuzo kabisa hakuna mchezaji yoyote ndani ya ligi kuu ya Tanzania bara msimu jana alikuwa na performance bora kuliko Miquissone hata ndani ya Klabu yake ya Simba 🦁 fatilia katika michuano ya Kimataifa na michuano ya ndani utakubaliana na hili. -Luis Miquissone 🇲🇿 msimu uliopita aliamua mechi nyingi sana za Simba akiibeba Simba mabegani mwake hata katika mechi ambazo Simba 🇹🇿 walionekana kukamatwa rejea mechi ya Azam fc raundi ya kwanza kwa Mkapa 2-2 na ile ya Polisi Tz pale Kirumba Mwanza. -Ni mechi nyingi sana ambazo Miquissone Ali fanya vizuri sana msimu jana na hata takwimu zinambeba ila naheshimu mawazo ya waandaaji wa tuzo kama walivyoona ila kwangu mimi hakuna mchezaji aliyefanya vizuri katika soka la Tanzania msimu jana zaidi ya Luis Josee Miquissone kijana huyu toka Mozambique 💪💪..Usiache kutu Follow 👉@TANZANIA_FOOTBALL 🇹🇿👈 kwa habari za Uhakika kabisa Saa 24🔥 @TANZANIA_FOOTBALL 🇹🇿👈 Credit @emanuelmwayombojr
5,827
163
16 hours ago
WANNE KUIKOSA PYRAMID ✍️ Wachezaji wanne wa Klabu ya Azam Fc wataukosa mchezo wa kimataifa wa kombe la shirikisho Afrika dhidi ya Pyramid utakaochezwa juma mosi hii ya October 16/2021. ✍️ Wachezaji hao ni Prince Dube ambaye anasumbuliwa na majeruhi, huku Aggrey Morris, Salum Abubakar, na Mudathir Yahya walifungiwa na klabu yao kwa sababu ya utovu wa nidhamu ✍️ Pia wapinzani wa Azam Fc, Klabu ya Pyramids watawasili nchini leo saa 3:00 usiku tayari kwa mchezo huo utakaochezwa Katika uwanja wa Azam Complex kuanzia majira saa 9:00 Alasiri. Kila lakheri @azamsports2 sportsonlineupdate #rais _wa_sontojo
583
7
2 days ago

Recent posts