Hashtag: enjoysoccer⚽️

356 Posts

Top posts

I hope he will have a great game ahead ⚽️ #enjoysoccer⚽️
6
0
1 month ago
105
3
4 months ago
¡¡Ya tenemos disponible en nuestra web la nueva equipación del Ajax para la temporada 2021/22!! 🔥 🏷 Compra 3 camisetas (puedes combinar) y llévate 15€ de descuento con el código "3x60" 📅 Tiempo de envío: 10-15 días laborales ✅ Miles de clientes satisfechos 💶 Pago disponible con PayPal, Apple Pay, Bizum, Transferencia o Tarjeta de crédito #ajax #ajaxawaykit #camisetaajax #equipacionajax #ajaxvisitante #soccerjersey #soccerjerseys #soccerworld #camisetasdefutbol #camisetasmolonas #indumentariadeportiva #casaca #soccerbible #enjoysoccer⚽️
14
0
14 days ago
Rasmi CEO wa #enjoysoccer⚽️ @mrishongasa16 , amewaaga wapenzi na wanachama wa klabu ya @yangasc kupitia ukurasa wake wa Instagram @mrishongasa16 . . . . . #mbokkahsports #rudinyumbani . . . . . ✏️ @therealmbokkah
15
0
1 year ago
HATMA YA CRISTIANO RONALDO Kwa mujibu wa Edu Aguirre ambaye ni Rafiki wa karibu wa Ronaldo kwenye interview yake usiku wa kuamkia leo ni kuwa Kocha Carlo Ancelotti ndie anahitaji Ronaldo arejee Real Madrid Carlo amekuwa akipiga simu nyingi kwa watu wa Ronaldo juu ya Mreno kurejea, huku Viongozi wa Madrid wakikubaliana na matakwa ya Kocha wao Ronaldo yupo tayari kurejea Real Madrid, huku wachezaji wa Madrid pia wana furaha kubwa juu ya urejeo wa Cristiano Ronaldo Kilichosalia mpaka sasa ni kuona kama anaondoka msimu huu au mwishoni mwa msimu, ila Don Carlo anamuhitaji sana Follow 👉 @sport_jungle1 #sport _jungle1update #sport #tunakuhabarishakilichoborazaidi #wasafimedia #wingawakimataifaaupdates #enjoysoccer⚽️ #sport _jungle1update #ilovethisgame #kitengemaulidi #sportarena #efmmedia #azamsports2 #azammedia
31
3
1 month ago

Recent posts

Kwa mujibu wa BILD, Fc Bayern Munich 🇩🇪 wataingia kwenye kinyang'anyiro cha kuwania saini ya mshambuliaji wa Dortmund Erling Haaland 🇳🇴 kama Robert Lewandowski ataamua kuondoka mwishoni mwa msimu huu Wanatoa kitu, wanaweka kitu 🤔 Follow 👉 @sport_jungle1 #sport _jungle1update #sport #tunakuhabarishakilichoborazaidi #wasafimedia #wingawakimataifaaupdates #enjoysoccer⚽️ #sport _jungle1update #ilovethisgame #kitengemaulidi #sportarena #efmmedia #azamsports2 #azammedia #oneteamonedream #nguvumoja✊🏽 #timuborabidhaabora #sisinisokaburudaniinaendelea #sisinisoka #sisitunawatu #daimambelenyumamwiko
33
0
23 hours ago
Baada ya kukamilisha mazungumzo na kiungo wao Pedri kuhusu kuongeza mkataba wa miaka mitano, Klabu ya Fc Barcelona ipo kwenye hatua za mwisho za mazungumzo na Ansu Fati chini ya Wakala Mendes ili asaini mkataba mpya wa muda mrefu wa kuendelea kuitumikia timu hiyo Wachezaji wengine ambao wapo kwenye mazungumzo ya kuongeza mikataba yao ni Gavi, Araújo pamoja na Dembélé Follow 👉 @sport_jungle1 #sport _jungle1update #sport #tunakuhabarishakilichoborazaidi #wasafimedia #wingawakimataifaaupdates #enjoysoccer⚽️ #sport _jungle1update #ilovethisgame #kitengemaulidi #sportarena #efmmedia #azamsports2 #azammedia #oneteamonedream #nguvumoja✊🏽 #timuborabidhaabora #sisinisokaburudaniinaendelea #sisinisoka #sisitunawatu #daimambelenyumamwiko
23
0
1 day ago
Klabu ya Manchester United imethibitisha kuwa itamkosa beki wake wa kati Raphael Varane wiki kadhaa kutokana na kusumbuliwa na matatizo ya misuli aliyoyapata kwenye mchezo wa fainali ya UEFA Nations kati ya Ufaransa dhidi ya Spain 🇪🇸 Mechi zao zijazo: Leicester City (A) Atalanta (H) Liverpool (H) Tottenham (A) Atalanta (A) Man City (H) ❌ Harry Maguire ❌ Varane ☑️ Phil Jones ☑️ Lindelof ☑️ Bailly Follow 👉 @sport_jungle1 #sport _jungle1update #sport #tunakuhabarishakilichoborazaidi #wasafimedia #wingawakimataifaaupdates #enjoysoccer⚽️ #sport _jungle1update #ilovethisgame #kitengemaulidi #sportarena #efmmedia #azamsports2 #azammedia #oneteamonedream #nguvumoja✊🏽 #timuborabidhaabora #sisinisokaburudaniinaendelea #sisinisoka #sisitunawatu #daimambelenyumamwiko
43
0
2 days ago
👌Ukiachana na wandishi wa habari na wachambuzi wazuri kwenye soka Kama wakina alikamwe,giftmacha,ngoda,privadinho,barakampenja na wengine wengi huyu jamaa anaupiga mwingi sana @alwatan_abdulazeez 🙌Hongera Sana bro unaifanya @mpenjatv_ inoge haswa saut nzuri yenye kuvutia katika soccer 🗣️Lugha na umaldadi unao tumia ni hatar sana unajua na unajua Tena 🙋 Tanzania imebalikiwa vijana wenye vipaji piga kazi Kaka badae tukuone Kama alikamwe ##enjoysoccer⚽️
289
39
3 days ago
Mechi kali za Kufuzu World Cup hii leo (Bara la Ulaya): Albania 🇦🇱 vs. Poland 🇵🇱 Denmark 🇩🇰 vs. Austria 🇦🇹 England 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 vs. Hungary 🇭🇺 Portugal 🇵🇹 vs. Luxembourg 🇱🇺 Sweden 🇸🇪 vs. Greece 🇬🇷 Ukraine 🇺🇦 vs. Bosnia Mechi zote ni saa 3:45 usiku 🤔 Follow 👉 @sport_jungle1 #sport _jungle1update #sport #tunakuhabarishakilichoborazaidi #wasafimedia #wingawakimataifaaupdates #enjoysoccer⚽️ #sport _jungle1update #ilovethisgame #kitengemaulidi #sportarena #efmmedia #azamsports2 #azammedia #oneteamonedream #nguvumoja✊🏽 #timuborabidhaabora #sisinisokaburudaniinaendelea #sisinisoka #sisitunawatu #daimambelenyumamwiko
31
0
3 days ago