Hashtag: daimambelenyumamwiko

168482 Posts

Top posts

KUMBE MANULA BADO SANA KWA DIARRA🙄🔥🔥🔥 Kwa Mujibu wa gazeti la champion leo jumatano Golikipa ghali zaidi katika ligi yetu ni wa Yanga Tsh M350. Wajumbe wa Simba kuna mtu anaswali?😎
2,439
106
2 days ago
#daimambelenyumamwiko #nguvumoja✊🏽 ukiihitaji kutengenezewa ni wewe tu Bei rahisi kabisa
170
0
2 days ago
Gomes ameshinda ligi kuu,ameshinda FA na amefika robo fainali CUF campions league na ndiye atakayetoa kipa bora,beki bora,mfungaji bora, kiungo bora, mchezaji bora, Sijui mmenielewa......? 🖊️🖊️🖊️ Fanya uzalendo kwa kunifollow mwanamichezo wenu @simbasctaznia @simbasctaznia . . . . 📌habar za michezo 🚦follow @simbasctaznia . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . #Usajili2021 #simba #yanga #simba #simbajerseychallenge #simbavsyanga #barakampenjachallenge #nguvumoja #hajimanara #azamsports2 #azamtvupdates #ligikuutanzaniabara #sisinisoka #sisinimashahiditu #nguvumoja #wapendasokaupdates #daimambelenyumamwiko #tbt #millardayosports #millardayoupdates #cloudstvtz #tiktok #ligikuu #sportpesa #ushindindokawaidayetu #vpl #dance #TotalCAFCL #asfc #simbasctanzania1 #WasafiSPORTS
357
2
5 hours ago
Hivi kweli JOB ni wakushindanishwa na KAPOMBE+TSHABALALA?? Sometimes tunaukosea heshima mpira wetu😢 Unapomzungumzia DICKSON JOB unatakiwa kuzungumzia watu kama VIRJL VAN DIJK, RUDGER, N.K 😢hii category imenihuzunisha sana . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . #sisinisoka #yangatv #daimambelenyumamwiko #yangasc #yanga #yangampya #yangascbingwaupdates #sisinimashahiditu #timuyawananchi #ligikuutanzaniabara #watapatatabusana #mabingwawakihistoria #simbasc #azamsports #simbasctanzania #simbasportsclub #simbanguvumoja #mabingwawakihistoria #nguvumoja #zanzibar #ulipotupo #udakutz #oneteamonedream #chombokwahewa #daressalaam #kariakoo #wasafitv #theclubaboveall #rayvanny #diamondplatnumz
824
31
1 day ago
-KUACHA JINA LA LUIS MIQUISSONE 🇲🇿 NI KUUTUKANA MCHEZO WA MPIRA WA MIGUU 😲👇🔥 -Katika Hii tuzo ya TFF ya mchezaji bora wa ligi msimu uliopita 2020-21 kuacha jina la Luis Miquissone 🇲🇿 ni kuutukana mchezo wa miguu kwa ile Performance yake msimu uliopita akisaidia timu yake mabao 19 kwa ujumla katika mechi 25 za ligi bado asiwepo hiii imesikitisha sana. -Luis Miquissone 🇲🇿 alistahili kuwepo katika orodha ile ama kutwaa tuzo kabisa hakuna mchezaji yoyote ndani ya ligi kuu ya Tanzania bara msimu jana alikuwa na performance bora kuliko Miquissone hata ndani ya Klabu yake ya Simba 🦁 fatilia katika michuano ya Kimataifa na michuano ya ndani utakubaliana na hili. -Luis Miquissone 🇲🇿 msimu uliopita aliamua mechi nyingi sana za Simba akiibeba Simba mabegani mwake hata katika mechi ambazo Simba 🇹🇿 walionekana kukamatwa rejea mechi ya Azam fc raundi ya kwanza kwa Mkapa 2-2 na ile ya Polisi Tz pale Kirumba Mwanza. -Ni mechi nyingi sana ambazo Miquissone Ali fanya vizuri sana msimu jana na hata takwimu zinambeba ila naheshimu mawazo ya waandaaji wa tuzo kama walivyoona ila kwangu mimi hakuna mchezaji aliyefanya vizuri katika soka la Tanzania msimu jana zaidi ya Luis Josee Miquissone kijana huyu toka Mozambique 💪💪..Usiache kutu Follow 👉@TANZANIA_FOOTBALL 🇹🇿👈 kwa habari za Uhakika kabisa Saa 24🔥 @TANZANIA_FOOTBALL 🇹🇿👈 Credit @emanuelmwayombojr
5,828
164
16 hours ago

Recent posts

“Tunahitaji kushinda hiyo mechi dhidi KMC hatuwezi kushinda kwa ukubwa wa jina la klabu tunatakiwa kuwa bora uwanjani na ndio maana nataka ratiba ya kila mchezaji ahudhurie (na waliokuwa timu zao za Taifa) ili tuwe na ubora unaolingana". Kocha Mkuu wa Yanga Sc Nabi #tumerudirasmi #kidosportupdates #yangamakaomakuu #yangasc #DaimaMbeleNyumaMwiko #TimuYaWananchi #wasafimedia
3
0
9 minutes ago
au pia hivi ni kawaida 🥺🥺 ila huku tunapoelekea kama kila kitu kawaida basi kazi tunayo....haya madevu uje uchukue mwano viviana @luludivatz amekuja kufanya kazi jamn sio kulea huo ni ukorofi 😌😌 . . . . Credit by @luludiva_tweets . . . #kamata #salute #alikiba #harmonize #sandakalawe #mangekimambi #wasafimedia betawards #hakikaruben #wasafim #wasafitv #millardayo exwangu #millardayoupdates #yangasc #nguvumoja #simba #daimambelenyumamwiko #carrymastory #azamsports2 #kamatachallenge #zarithebosslady #wcb4life #kenya #diamondplatnumz #nyumbandogo #zuchu #ndombolo #iyochallenge #sweetsweetchallenge #chawachallenge
11
0
17 minutes ago
Nipe location bro....nije nikuungishe na mchele mana kama wadada waliongeza speed kwenye hii challenge!! Asante kwa kuja kuokoa jahazi 😆😆😆 #KAWAIDA link on my bio ☝️☝️ @luludivatz . . . . Credit by @luludiva_tweets . . . #kamata #salute #alikiba #harmonize #sandakalawe #mangekimambi #wasafimedia betawards #hakikaruben #wasafim #wasafitv #millardayo exwangu #millardayoupdates #yangasc #nguvumoja #simba #daimambelenyumamwiko #carrymastory #azamsports2 #kamatachallenge #zarithebosslady #wcb4life #kenya #diamondplatnumz #nyumbandogo #zuchu #ndombolo #iyochallenge #sweetsweetchallenge #chawachallenge
6
0
31 minutes ago
#Repost @yangasc • • • • • • Taarifa kwa Umma. #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
4
0
32 minutes ago