Hashtag: azamsports2

149033 Posts

Top posts

Gomes ameshinda ligi kuu,ameshinda FA na amefika robo fainali CUF campions league na ndiye atakayetoa kipa bora,beki bora,mfungaji bora, kiungo bora, mchezaji bora, Sijui mmenielewa......? 🖊️🖊️🖊️ Fanya uzalendo kwa kunifollow mwanamichezo wenu @simbasctaznia @simbasctaznia . . . . 📌habar za michezo 🚦follow @simbasctaznia . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . #Usajili2021 #simba #yanga #simba #simbajerseychallenge #simbavsyanga #barakampenjachallenge #nguvumoja #hajimanara #azamsports2 #azamtvupdates #ligikuutanzaniabara #sisinisoka #sisinimashahiditu #nguvumoja #wapendasokaupdates #daimambelenyumamwiko #tbt #millardayosports #millardayoupdates #cloudstvtz #tiktok #ligikuu #sportpesa #ushindindokawaidayetu #vpl #dance #TotalCAFCL #asfc #simbasctanzania1 #WasafiSPORTS
387
2
6 hours ago
@shaffihdauda_ anasema hivi 👇 Safari hii Simba inacheza mechi mbili ikishinda kwa aggregate inafuzu hatua ya makundi. Kuna kitu kimoja ambacho nafikiri watu wengi hawajakigundua, imekuwa tofauti na ambavyo tulikuwa tumezoea miaka mingi nyuma timu za Tanzania kukutana na vigogo wa Afrika kwenye hatua za mapema lakini safari hii Simba inakutana na Jwanang Galaxy ua Botswana. Maana yake ni kwamba hata hao wakubwa wanahofia kukutana na Simba katika hatua hizi kwa sababu wanajua wanaweza kutoka wasifike hatua ya makundi. Kwa hiyo hata kama kuna mambo yanafanyika basi ni kuikwepa Simba kwa sababu sio ngazi tena kama ilivyokuwa zamani.
3,372
47
2 days ago
HAPPY birthday to you my friend 💞 Happy birthday to you @salama_ngale 💞 Kheri ya kumbukizi ya kuzaliwa Mchambuzi mwenye viwango vya Nyota 5 ✨❤️ Kheri ya kumbukizi ya kuzaliwa Mama John 💞 Ishi sana mshikaji wangu wa Nguvu, Rafiki yangu 💞 🎂🎂🎂🎂🎂🎂🎂🎂 . . . . . . . . . . . . . #manchesterunited #masterfassion #mancity #makeup #aggysimbasportsclub #auntezekiel #alikamwe #aunt #ay #alikiba #azamsports2 #azamtv #cloudstv #clouds #diamondplatnumz #hajimanara #jokatemwegelo #harmonize #kondegang4everybody #kingmusic #kampalauganda #nairobikenya #nandy #mauasama #misssimbasportsclub #masterfassion #beautiful #vodacompremierleague #gsm #masterplan✨🌍
276
2
10 hours ago
-TUNAONEWA,YANGA HATUSTAHILI RUNGU LA CAF 😲🔥👇 -Anaandika Wakili Simon Patrick ,mkurugenzi wa Sheria na Wananchama wa Yanga 👇 -Wakati unatafakari kuilaumu Klabu ya Yanga kuhusu faini ya CAF ni vyema ukafahamu yafuatayo; - Nani anahusika na ulinzi wa uwanja? - Nani anahusika na COVID tests? - Nani anahusika na kuruhusu mashabiki uwanjani? - Nani anahusika na stewards uwanjani? -Ukiangalia kwa jicho la pili utagundua Yanga haihusiki na masuala yote yaliyotajwa. Pia ukisikia Yanga anatumia uwanja wa Taifa kama uwanja wa nyumbani, ni vyema ujue eneo pekee ambalo anapewa kuli control kwa 100% ni chumba cha kubadilishia nguo kwa wachezaji tu, -maeneo yote yaliyobaki kuanzia getini, parking, mzunguko, VIP A,B & C pamoja na VVIP Yanga haina access wala control bila ruhusa maalumu ya Shirikisho/ Bodi ya Ligi, ni mpaka uwe na Access au Accreditation. -Yaani kwa ufupi ata kama Kiongozi wa Yanga ana mgeni wake lazima aombe ruhusa au kibali kutoka bodi ya ligi ndio aruhusiwe kumuingiza kwenye mechi zake za nyumbani, ukiachana na hilo ni kukaa na kusubiria mgawanyo wa mapato yatokanayo na mechi tu kwa mujibu wa kanuni za mechi husika - Hivyo ni vyema kabla haujailaumu Yanga, zingatia niliyoyaandika hapo juu alafu jenga hoja zako za msingi weka ushabiki pembeni. NB: Wananchi tukutane Songea tarehe 19/10/2021 tuna jambo letu na KMC..Usiache kutu Follow 👉@TANZANIA_FOOTBALL 🇹🇿👈 kwa habari za Uhakika kabisa Saa 24🔥 @TANZANIA_FOOTBALL 🇹🇿👈
5,173
263
2 days ago

Recent posts

🔰Nachukua fursa hii kuwapongeza viongozi kwa maamuzi mazuri ya kurudisha mchezo wa Ligi kuu dhidi ya Azam Uwanja wa Mkapa Hii ndio maana halisi ya Timu ya Wananchi Sasa jukumu lililo Baki ni kuufanyia promotion mchezo huu mpka uwanja ujae Mimi bado naamini mechi kati ya Yanga na Azam ni mechi kubwa Sana , Azam ni mshindani halisi wa Yanga kuliko hata Simba, Simba ni mtani wetu Ila linapokuja suala la uwanjani Azam huwa anatupatia mechi ngumu Mara ya mwisho uwanja wa Mkapa kujaa nje ya Simba vs Yanga ilikuwa mwaka 2013 mechi ya Yanga Vs Azam Naamini rekodi hii inaenda kuvunjwa mwaka huu Tena , kikubwa tuandae utaratibu mzuri wa kuuza tiketi mapema na promosheni za kutosha ambapo @hajismanara ni champions katika Hilo #follow @mo_carter26 @mo_carter26 @mo_carter26 kwa habari na updates za Yanga Sc : : . . : #kaziiendelee #kilimo #ligikuutanzaniabara #azammedia #yangasc #azamsports2 #homeofchampions #zanzibar #simbaday2021 #yangasc #ulipotupo #simbasc #vichekesho #simbanguvumoja #sisitunawatu #timuyawananchi #mabingwawakihistoria #kingkiba #daressalaam #diamondplatnumz #watapatatabusana #wasafi #thereturnofchampions #udaku #manara #nguvumoja #imaniupendomiujiza #mo _carter26
3
2
22 minutes ago
Game On...Second Half 61' PSG 0-1 ANGERS, ⚽️ Angelo Fulgini 36' Leandro Paredes,Lionel Messi, Angel Di Maria, Neymar Jr na Marquinhos hawapo kikosini leo vipi PSG watatoka kweli au ndio mzimu wa Ligue 1 msimu huu utaendelea kuwatembelea. Let's wait and see!!.. @officialevodiusoscar
16
1
36 minutes ago
SIKU IKITOKA HII NGOMA AFRICA NZIMA ITAACHA MAMBO YOOTE WATAKUW WANASIKILIZA NGOMA HII TUU BC WEEK NZIMA🤣🤣🤣🤣🤣🤣 HAKUNA KULA WA KULALA NASEMA WOOTE AFRICA NZIMA 🤣🤣🤣 NDIO MAAAN @harmonize_tz HATKI KUITOA MAANA ANAJUA HEKA HEKA ITAKAYOTOKEA 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 @harmonize_tz ft @burnaboygram . . . . . . . . . . . . . . . . . . . #kondegang4everybody #KONDEGANG4YOU . . . #afroeast2020 #simbasportsclub #nguvumoja #thisissimba #rugekondegangtz #vodacompremierleague #ligikuutanzaniabara #vpl #sokaliveupdates #simba #sokaonline #sisinisoka #azamsports2 #simbasc #harmonize #tembo #gaintrick #254publicity #kondeboynews #gainwithmchina #gainwithbundi #football #tanzania #soka #gainwithmtaaraw #sokaonlineupdates
71
7
42 minutes ago
Huyu cheusi jamani kwann asimsubirie madevu aje ndo ampe mtoto wake sasa hapo kumuacha viviani ndo nini 🥺🥺🥺 maria njoo umsaidie madevu kulea 😆😆😆jua linazidi kuwa kali 🙈🙈 @luludivatz . . . . Credit by @luludiva_tweets . . . #kamata #salute #alikiba #harmonize #sandakalawe #mangekimambi #wasafimedia betawards #hakikaruben #wasafim #wasafitv #millardayo exwangu #millardayoupdates #yangasc #nguvumoja #simba #daimambelenyumamwiko #carrymastory #azamsports2 #kamatachallenge #zarithebosslady #wcb4life #kenya #diamondplatnumz #nyumbandogo #zuchu #ndombolo #iyochallenge #sweetsweetchallenge #chawachallenge
28
1
43 minutes ago