Hashtag: azammedia

8398 Posts

Top posts

#Repost @azamsportshd with @make_repost ・・・ AZAM FC IMEZINDUA LOGO: Baadhi ya wafanyakazi wa #AzamMedia wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa. #AzamFCNaJamboKubwa #AzamFC #AzamLogo #LogoMpya #AzamSports1HD @azamfcofficial @yahyamohamedtz @hasheem_ibwe @pascal_kabombe @wizara_habaritz
259
5
2 months ago
Ivi makame yupogo wapi siku izi !!? ... Alafu Wewe Unakumbuka nini ukimuona makame mimi binafsi nkimuonaga nakumbuka mengi ila kikubwa zaidi hua nakumbuka kubwa kuliko 😁 📌yule mtoto namtafuta anae jua upatikanaji wake anicheki DM kuna jezi zake 2 ya njano na kijani .. ... .. . . . ... .. . .. ... . . . . . .. ... ... ... #kaziiendelee #kilimo #ligikuutanzaniabara #azammedia #yangasc #azamsports2 #homeofchampions #zanzibar #simbaday2021 #yangasc #ulipotupo #simbasc #vichekesho #simbanguvumoja #arusha #sisitunawatu #timuyawananchi #mabingwawakihistoria #kingkiba #daressalaam #diamondplatnumz #watapatatabusana #wasafi #thereturnofchampions #udaku #manara #mekumjanja #nguvumoja .
2,361
74
1 day ago

Recent posts

Kiungo mkabaji wa simba @taddeolwanga Huyu ndiye anayefanya wizara ya ulinzi kuipunguzia mashambulizi ya hatarii kwa kunusa hatarii zinazoelekezwa langoni mwa simba #azamtwo #aaroncarter #azammedia #azamsports2 #sokaonlinechallenge #sokaplaceupdates #mabingwawakihistoria #msimbazi
0
0
2 minutes ago
Maneno yana semwa mengi ila wewe kama wewe unasemaje au una maoni gani kuusiana na saido ntibanzokinza !? Mimi maoni yangu nlishayatoa siku nyingi kwa tulio kuwa pamoja tangu ile siku anafunga goli hashangilii alafu anaomba sub kisa alianzishiwa bench Na kumbuka ile ilikuwa yanga ya kina sarpong nnchimbi na wengineo sasa hii ambayo makambo anaanzia bench sijui itakuwaje upande wake na hapendi kuanzia bench .. ... .. . . . ... .. . .. ... . . . . . .. ... ... ... #kaziiendelee #kilimo #ligikuutanzaniabara #azammedia #yangasc #azamsports2 #homeofchampions #zanzibar #simbaday2021 #yangasc #ulipotupo #simbasc #vichekesho #simbanguvumoja #arusha #sisitunawatu #timuyawananchi #mabingwawakihistoria #kingkiba #daressalaam #diamondplatnumz #watapatatabusana #wasafi #thereturnofchampions #udaku #manara #mekumjanja #nguvumoja #azamfc
858
29
52 minutes ago
21
0
2 hours ago
@iamrallybwalya Ni mchezaji mzuri hasa Timu ikipata matokeo hasa ukihitaji kulinda Timu itulie na mpira huyu ni Kiungo haswa kwenye mpira gomes sina shaka naye pale Botswana inatakiwa tupate goli na kulinda matokeo dakika zote #simbasc #ligikuutanzaniabara #mabingwawakihistoria #azamtwo #azammedia #mabingwawakihistoria #sportshq
16
0
2 hours ago