@sport_jungle1
Posts
847
Kwa mujibu wa BILD, Fc Bayern Munich 🇩🇪 wataingia kwenye kinyang'anyiro cha kuwania saini ya mshambuliaji wa Dortmund Erling Haaland 🇳🇴 kama Robert Lewandowski ataamua kuondoka mwishoni mwa msimu huu Wanatoa kitu, wanaweka kitu 🤔 Follow 👉 @sport_jungle1 #sport _jungle1update #sport #tunakuhabarishakilichoborazaidi #wasafimedia #wingawakimataifaaupdates #enjoysoccer⚽️ #sport _jungle1update #ilovethisgame #kitengemaulidi #sportarena #efmmedia #azamsports2 #azammedia #oneteamonedream #nguvumoja✊🏽 #timuborabidhaabora #sisinisokaburudaniinaendelea #sisinisoka #sisitunawatu #daimambelenyumamwiko
33 0
23 hours ago
Baada ya kukamilisha mazungumzo na kiungo wao Pedri kuhusu kuongeza mkataba wa miaka mitano, Klabu ya Fc Barcelona ipo kwenye hatua za mwisho za mazungumzo na Ansu Fati chini ya Wakala Mendes ili asaini mkataba mpya wa muda mrefu wa kuendelea kuitumikia timu hiyo Wachezaji wengine ambao wapo kwenye mazungumzo ya kuongeza mikataba yao ni Gavi, Araújo pamoja na Dembélé Follow 👉 @sport_jungle1 #sport _jungle1update #sport #tunakuhabarishakilichoborazaidi #wasafimedia #wingawakimataifaaupdates #enjoysoccer⚽️ #sport _jungle1update #ilovethisgame #kitengemaulidi #sportarena #efmmedia #azamsports2 #azammedia #oneteamonedream #nguvumoja✊🏽 #timuborabidhaabora #sisinisokaburudaniinaendelea #sisinisoka #sisitunawatu #daimambelenyumamwiko
23 0
1 day ago
Klabu ya Manchester United imethibitisha kuwa itamkosa beki wake wa kati Raphael Varane wiki kadhaa kutokana na kusumbuliwa na matatizo ya misuli aliyoyapata kwenye mchezo wa fainali ya UEFA Nations kati ya Ufaransa dhidi ya Spain 🇪🇸 Mechi zao zijazo: Leicester City (A) Atalanta (H) Liverpool (H) Tottenham (A) Atalanta (A) Man City (H) ❌ Harry Maguire ❌ Varane ☑️ Phil Jones ☑️ Lindelof ☑️ Bailly Follow 👉 @sport_jungle1 #sport _jungle1update #sport #tunakuhabarishakilichoborazaidi #wasafimedia #wingawakimataifaaupdates #enjoysoccer⚽️ #sport _jungle1update #ilovethisgame #kitengemaulidi #sportarena #efmmedia #azamsports2 #azammedia #oneteamonedream #nguvumoja✊🏽 #timuborabidhaabora #sisinisokaburudaniinaendelea #sisinisoka #sisitunawatu #daimambelenyumamwiko
43 0
2 days ago
Mechi kali za Kufuzu World Cup hii leo (Bara la Ulaya): Albania 🇦🇱 vs. Poland 🇵🇱 Denmark 🇩🇰 vs. Austria 🇦🇹 England 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 vs. Hungary 🇭🇺 Portugal 🇵🇹 vs. Luxembourg 🇱🇺 Sweden 🇸🇪 vs. Greece 🇬🇷 Ukraine 🇺🇦 vs. Bosnia Mechi zote ni saa 3:45 usiku 🤔 Follow 👉 @sport_jungle1 #sport _jungle1update #sport #tunakuhabarishakilichoborazaidi #wasafimedia #wingawakimataifaaupdates #enjoysoccer⚽️ #sport _jungle1update #ilovethisgame #kitengemaulidi #sportarena #efmmedia #azamsports2 #azammedia #oneteamonedream #nguvumoja✊🏽 #timuborabidhaabora #sisinisokaburudaniinaendelea #sisinisoka #sisitunawatu #daimambelenyumamwiko
31 0
3 days ago
Ratiba ya mechi za leo Jumatatu za kufuzu World Cup 2022: 16:00 Gabon 🇬🇦 vs. Angola 🇦🇴 16:00 Mozambique 🇲🇿 vs. Cameroon 🇨🇲 19:00 Burkina Faso 🇧🇫 vs. Djibouti 🇩🇯 19:00 Ivory Coast 🇨🇮 vs. Malawi 🇲🇼 22:00 Libya 🇱🇾 vs. Egypt 🇪🇬 #WCQ2022 Follow 👉 @sport_jungle1 #sport _jungle1update #sport #tunakuhabarishakilichoborazaidi #wasafimedia #wingawakimataifaaupdates #enjoysoccer⚽️ #sport _jungle1update #ilovethisgame #kitengemaulidi #sportarena #efmmedia #azamsports2 #azammedia #oneteamonedream #nguvumoja✊🏽 #timuborabidhaabora #sisinisokaburudaniinaendelea #sisinisoka #sisitunawatu #daimambelenyumamwiko
67 0
4 days ago
Ratiba ya mechi za leo Jumapili za kufuzu World Cup 2022: 16:00 Benin 🇧🇯 vs. Tanzania 🇹🇿 16:00 Central Africa 🇨🇫 vs. Nigeria 🇳🇬 16:00 Kenya 🇰🇪 vs. Mali 🇲🇱 16:00 Uganda 🇺🇬 vs. Rwanda 🇷🇼 19:00 Cape Verde 🇨🇻 vs. Liberia 🇱🇷 19:00 Madagascar 🇲🇬 vs. DRC 🇨🇩 19:00 Zambia 🇿🇲 vs. Equatorial Guinea 22:00 Mauritania 🇲🇷 vs. Tunisia 🇹🇳 #WCQ2022 Follow 👉 @sport_jungle1 #sport _jungle1update #sport #tunakuhabarishakilichoborazaidi #wasafimedia #wingawakimataifaaupdates #enjoysoccer⚽️ #sport _jungle1update #ilovethisgame #kitengemaulidi #sportarena #efmmedia #azamsports2 #azammedia #oneteamonedream #nguvumoja✊🏽 #timuborabidhaabora #sisinisokaburudaniinaendelea #sisinisoka #sisitunawatu #daimambelenyumamwiko
61 0
5 days ago
Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 🇹🇿 kimeondoka jijini Dar es Salaam kuelekea Benin 🇧🇯 tayari kwa mchezo wa kufuzu kombe la dunia Jumapili hii Oktoba 10 Follow 👉 @sport_jungle1 #sport _jungle1update #sport #tunakuhabarishakilichoborazaidi #wasafimedia #wingawakimataifaaupdates #enjoysoccer⚽️ #sport _jungle1update #ilovethisgame #kitengemaulidi #sportarena #efmmedia #azamsports2 #azammedia #oneteamonedream #nguvumoja✊🏽 #timuborabidhaabora #sisinisokaburudaniinaendelea #sisinisoka #sisitunawatu #daimambelenyumamwiko
81 2
7 days ago
21 0
7 days ago
L'Equipe wameripoti kuwa kiungo wa Manchester United Paul Pogba yupo tayari kuongeza mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia timu hiyo kwa sharti moja Imeelezwa kuwa wawakilishi wa nyota huyo wanataka Pogba awe mchezaji anayelipwa pesa nyingi zaidi katika Ligi Kuu Nchini England maarufu kama EPL 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Follow 👉 @sport_jungle1 #sport _jungle1update #sport #tunakuhabarishakilichoborazaidi #wasafimedia #wingawakimataifaaupdates #enjoysoccer⚽️ #sport _jungle1update #ilovethisgame #kitengemaulidi #sportarena #efmmedia #azamsports2 #azammedia #oneteamonedream #nguvumoja✊🏽 #timuborabidhaabora #sisinisokaburudaniinaendelea #sisinisoka #sisitunawatu #daimambelenyumamwiko
28 0
7 days ago