Mchezaji wa Timu ya Taifa ya wanaume U17 Serengeti Boys, Silvester Otto amekuwa mfungaji bora wa mashindano ya kufuzu AFCON Kanda ya CECAFA yaliyomalizika leo nchini Ethiopia
@azamtvsports@cecafa_@serengetiboystz
Kocha wa Timu ya Taifa ya wanaume U17 @serengetiboystz Kim Poulsen akizungumza kuelekea mchezo wa kesho kutafuta mshindi wa tatu mashindano ya kufuzu AFCON Kanda ya CECAFA dhidi ya Uganda.
@azamtvsports@cecafa_@caf_online