EVODIUS OSCAR

@officialevodiusoscar_

@officialevodiusoscar  ->  @officialevodiusoscar_
From 🇹🇿 Media Personality 🌍 | Football Commentator | Content Creator | Humble Man 👊🏿 | MR Champion 💪 | God bless us 🙏
Posts
2,802
Followers
5,300
Following
996
@VOT_Media | Jana kuhusu KMC FC dhidi ya Young Africans 💪 Tathmini yote niliyofanya jana kuhusu mchezo huu ambao Young Africans ilipata ushindi wa mabao 3-0 inapatikana kwenye YouTube Channel ya VOT MEDIA 👊 🎙 - @jacobmlay_ 🎥 - @comic_cliff Kuhusu mchezo wa Man City na Chelsea pia Tathmini yake inapatikana pale. Link ipo kwenye Bio Yangu hapo juu 🤩✅️ .. @millardayo @shaffihdauda_ @georgeambangile @ahmedabdallah05 @mkazuzutza Let's Goo!!.
76 20
1 month ago
AFCON SPECIAL | ENJOY GROUP C 👊 Leo Januari 13 Mwaka 2024 Michuano ya AFCON inaanza Rasmi ndani ya Nchi ya IVORY COAST ambao ni Mabingwa Mara Mbili wa Kombe hili kubwa AFRIKA ambapo wanaikaribisha Guinea-Bissau Saa 5 Kamili Usiku Hivyo basi ukiwa unasubiri Mchezo huo wa Ufunguzi wa Michuano ya AFCON karibu upate Tathmini fupi ya KUNDI C ambalo lina Timu kama Senegal, Cameroon, Gambia na Guinea ✅ Muendelezo huu wa AFCON SPECIAL tunaosgea nao mpaka mwisho wa Michuano hii Februari 11 ambayo ndio itakuwa Tarehe Rasmi ya Fainali. 🎙 | - @amanishewiyoo & @officialevodiusoscar_ 🎥 | - @official_bahigezeandrew & @trysonkalinga Enjoy the Beautiful Game 🤩💪 .. [@millardayo @georgeambangile @shaffihdauda_ @mkazuzutza @ahmedabdallah05 @edokumwembe ] ALL THE BEST TAIFA STARS..!!💪🇹🇿 Let's Goo!!.
66 8
2 months ago
BEST AFCON 1ST ELEVEN Hiki ndio Kikosi Bora cha AFCON 2023 iliyofanyika pale Ivory Coast Mwaka huu 2024 Coach: Emerse Faé 🇨🇮 𝐆𝐨𝐚𝐥𝐤𝐞𝐞𝐩𝐞𝐫: Ronwell Williams (c) 🇿🇦 𝐃𝐞𝐟𝐞𝐧𝐝𝐞𝐫𝐬: Khuliso Mudau 🇿🇦, William Troost-Ekong 🇳🇬, Mbemba 🇨🇩 𝐌𝐢𝐝𝐟𝐢𝐞𝐥𝐝𝐞𝐫𝐬: Franck Kessié 🇨🇮, Teboho Mokoena 🇿🇦, Seko Fofana 🇨🇮, Lamine Camara 🇸🇳 𝐅𝐨𝐫𝐰𝐚𝐫𝐝𝐬: Simon Adingra 🇨🇮, Emilio Nsue 🇬🇶, Gerson Dala 🇦🇴 .. Je, unadhani ni mchezaji gani mwingine ambaye unaona alistahili kuingia hapa kwenye kikosi bora cha AFCON Mwaka huu_? Let's Goo!!.
75 3
1 month ago
SASA BELLINGHAM WENYEWE KAKUBALI MIGUU YA KIJANA KUTOKA CARRINGTON JIJINI MANCHESTER WEWE NI NANI__? 😀 Wanangu wa Man United sisi hatutaki kuongea maana wasemaji tunao wengi tu acha watuzungumzie 😀 Let's Goo!!.
0 1
11 hours ago
YOUNG AFRICANS SPORTS CLUB! Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Tanzania na Washindi wa Pili Msimu uliopita ndani ya Fainali ya CAF Confederation Cup, Wananchi Msimu uliopita mlicheza Mechi Bora sana ila habati mbaya mpinzani wenu akapata matokeo bora mbele yenu, hiyo imepita na sasa mnataka kuandika historia mpya ya michuano ya CAF Champions League Afrika kwa sasa imeshituka na watu wengi wameanza kutazama nini kipo kwenu! Ni wazi kwamba Project yenu inavutia na inatoa matumaini makubwa sana kwa mashabiki na wanachama wa Klabu yenu, mwaka jana mmecheza Fainali kitu ambacho kuna Timu nyingi tu zimeshindwa kufanya hapa Afrika Simply! Ukweli ni kwamba muda huu mna Timu nzuri ambayo ipo tayari kushindana katika Michuano mikubwa ya Afrika kwa ngazi ya klabu, miaka iliyopita Timu haikuwa na nyakati nzuri sana katika michuano hii ndio maana hata Group Stage mmeitafuta kwa miaka zaidi ya 20 Muda huu sio wa kuzungumzia historia nyingi zilizopita bali kazi ni moja tu kuitafuta Nusu Fainali ya CAF Champions League! Muda wa kufanya kile ambacho mlifanya mwaka jana ndani ya Kombe la Shirikisho basi ndio huu wa sasa na itapendeza kuona Bendera ya Tanzania inapepea vizuri Robo Fainali ya mwaka huu ni Klabu Bingwa Afrika na mnacheza dhidi ya Mabingwa wa hili Kombe wa mwaka 2016 na si wengine bali ni Mamelodi Sundowns! Heshima yao ipo ila Young Africans mnahitaji kucheza kibingwa kama msimu uliopita Simu ziite kuanzia Kariakoo, Dar Es Salaam mpaka Loftus Versfeld Stadium Jijini Pretoria nchini Afrika Kusini! Ubora wenu siku ya Jumamosi ukazungumze pale Benjamin Mkapa Stadium ili kutuma Salamu kupitia Jiji la Dar Es Salaam Mwaka huu ni wakati TANZANIA kucheza Fainali ya CAF Champions League, hizi kete mbili zina faida kubwa kwa nchi na lazima zitiki kwa usahihi!. ALL THE BEST @YANGASC .. @millardayo @shaffihdauda_ @georgeambangile @ahmedabdallah05 @mkazuzutza Let's Goo!!.
69 1
21 hours ago
SIMBA SPORTS CLUB Msimu huu wanahitaji kuvuka Robo Fainali na kuelekea Nusu Fainali ya CAF Champions League mbele ya Al Ahly, Mnyamaa anaamini huu ndio muda na wakati wake kuvunja historia mbaya iliyopita nyuma kwenye michezo ya hatua kama hii ambayo walishacheza tayari Miaka mitano iliyopita Simba walicheza vizuri sana mechi zao zote za Robo Fainali ila kilichowaangusha ni namna ambavyo walicheza Mechi zao za nyumbani! Mechi zote za nyumbani walitengeneza nafasi nyingi ila matumizi ya hizo nafasi ndio ikawa shida kuzibadili kuwa magoli mbele ya wapinzani wao Simply! Tazama kuanzia Mechi yao dhidi ya TP Mazembe Mwaka 2019 ambayo walitoa sare ya 0-0 nyumbani kisha kupoteza 4-1 ugenini baada ya hapo tazama Robo Fainali yao mbele ya Kaizer Chiefs ambayo wlaipoteza 4-0 ugenini kabla ya kuja kushinda 3-0 nyumbani huku kote shida sio kucheza vizuri bali ni matumizi ya nafasi katika mechi za nyumbani Baada ya hapo sogea mpaka 2022 ndani ya CAF Confederation Cup karudie mechi yao dhidi ya Orlando Pirates ambayo walishinda 1-0 nyumbani kisha kupoteza 1-0 ugenini hapa walipoteza nafasi wakiwa nyumbani na ugenini mechi ikawa ngumu wakatolewa kwa mikwaju ya Penati 5-3! Mechi iliyofuata ni Mwaka jana 2023 mbele ya Wydad Casablanca ambayo walishinda 1-0 nyumbani na kupoteza ugenini bao 1-0 ikapelekea watolewa kwa mikwaju ya Penati 5-3 Kuanzia Viongozi, Benchi la Ufundi na Wachezaji wote Simba waende kutazama hizi Mechi zote kisha waingie Benjamin Mkapa Stadium Jijini Dar Es Salaam kucheza Mechi yao ya Robo Fainali mbele ya Mabingwa mara 11 wa CAF Champions League, Al Ahly! Muda ndio huu na wakati wao umefika wanahitaji kutumia nafasi nyingi tu ambazo wamekuwa wakishindwa kuzitumia kwenye hatua kama hizi ndani ya uwanja wa nyumbani. ALL THE BEST @simbasctanzania .. @millardayo @shaffihdauda_ @georgeambangile @ahmedabdallah05 @mkazuzutza Let's Goo!!.
0 4
1 day ago
HUU NI MUENDELEZO WA NDOTO ZANGU KUELEKEA MACHI 29 NA 30 MPAKA FAINALI YA CAF CL MSIMU HUU 😀 Wanangu wa Msimabaziii na Jangwani hapo vipi au nishtuke kwanza__? 😀 Let's Goo!!.
56 11
2 days ago
Leo nimeota Young Africans anaongoza 3-1 dhidi ya Mamelodi Sundowns sikumbuki ilikuwa Dakika ya ngapi ila mfungaji mmoja nimeona ni Sure Boy na ilikuwa 'Reply' sababu nimewasha TV kuangalia mechi ikiwa imeanza tayari na muda huo wananchi wamemiliki mchezo kwa kiasi kikubwa sana Baada ya kuangalia matukio hayo kwa muda mfupi tu ndoto yangu ikaisha hapo sasa sijui ilikuwa na maana gani. Naombeni Muongozo Tafadhali maana nimeamka nimewaza sana kuhusu hii ndoto! Wataalamu wa Mambo tunaomba maelekezo hii ina maana gani kuelekea Jumamosi pale Benjamin Mkapa Stadium 😀 Ni Young Africans au Mamelodi Sundowns___? 😀 Let's Goo!!.
61 3
2 days ago
NATIONAL TEAM ni Project ya Muda mrefu ambayo inahitaji uwekezaji wa miundombinu, muda na rasilimali zote za mpira wa miguu, hapa utapata maumivu na kuna nyakati utakosea sana ili ufanikiwe na kupiga hatua kutoka sehemu moja kwenda nyingine Binafsi naona Taifa Stars tupo kwenye njia nzuri kwa kuangalia majina mapya ya wachezaji wengi wapya ambao wameanza kucheza Timu ya Taifa tofauti na hapo nyuma, wachezaji wengi vijana wanacheza Ligi za nje na kuna kitu kipya wanajifunza ambacho ni msaada kwa Benchi la Ufundi wanapokuwa uwanja wa mazoezi Wale Ubeligiji na kizazi chao cha kina De Bruyne, Romelu Lukaku, Tobby Aldeweireld, Thibaut Courtois, Yannick Carasco, Dries Mertens, Eden Hazard na wengineo hawakufanikiwa na walichopata ni Mshindi wa Tatu ndani ya World Cup 2018 pale Russian na mpaka leo wanahangaika Hapo hatujazungumza kuhusu Uingereza na kizazi chao cha Dhahabu kwa Miaka 10 ya hivi karibuni ila bado hawajapata mafanikio ambayo wanahitaji, wamepita kina Wayne Rooney, Frank Lampard, Joe Hart, Steven Gerald, John Terry na sasa kina Marcus Rashford, Harry Kane na wengineo ila bado wanahangaika Baada ya hapo nenda kawatazame hivi sasa Timu ya Taifa ya Brazil, Netherlands na mataifa mengine yote makubwa ambayo yanahangaika kuunda Timu zao za Taifa, hii sio Project ya muda mfupi tu kama nyingine bali unahitaji uwekezaji mkubwa kwenye muda ili ufanikiwe na kusogea mbali zaidi TAIFA STARS ni kazima tukibali inajengwa upya na tusapoti Project iliyopo mezani, muda wa kupambana kusogea ndio huu na lazima tukosee ili kupiga hatua ya mbali zaidi kuliko hapa tulipo leo! Muda ndio huu muhimu ni muendelezo wa kujufunza kutoka kwa wenzetu waliofanikiwa na waliofeli. Let's hope for the Best Upcoming TAIFA STARS 👊🇹🇿 .. @millardayo @shaffihdauda_ @georgeambangile @ahmedabdallah05 @mkazuzutza Let's Goo!!.
0 1
3 days ago
@VOT_Media | Simba SC and Young Africans in CAF Champions League 🤩✅️ Faida ya uzinduzi wa Hamasa mapema kuelekea Mechi za Machi 29 na 30 ndani ya Robo Fainali ya CAF Champions League kwa Timu zote mbili 1: Simba SC Vs Al Ahly | Machi 29 - Saa 21:00 Usiku 2: Young Africans Vs Mamelodi Sundowns | Machi 30 - 21:00 Usiku 🎙 - @officialevodiusoscar_ & @official_bahigezeandrew 🎥 - @amanishewiyoo Fully Interview inapatikana kwenye YouTube Channel ya VOT MEDIA Bofya Link kwenye Bio Yangu hapo juu utazame Tathmini yote 👊 Enjoy the Beautiful Game 🤩💪 .. @millardayo @mkazuzutza @georgeambangile @ahmedabdallah05 @shaffihdauda_ @baraka_mpenja Let's Goo!!.
62 15
3 days ago
ENDRICK FILIPE MOREIRA DE SOUSA 🇧🇷 mwenye Umri wa Miaka 17 na siku 246 anakuwa Mchezaji mwenye umri mdogo zaidi kufunga Goli kwenye Timu ya Taifa ya Brazil tangu Ronaldo Delima afanye hivyo Mwaka 1994! The New Talent in Town ENDRICK alifunga Goli pekee dakika ya 80 lililowapa ushindi Timu ya Taifa ya Brazil mbele ya Uingereza siku ya jana katika Dimba la WEMBLEY STADIUM! Msimu ujao Kijana atacheza ndani ya klabu ya Real Madrid sababu Mwezi July Mwaka huu atasaini na kutangazwa rasmi ndani ya klabu hiyo Usiku wa Jana Uingereza wamefungwa na Real Madrid kuanzia Assist iliyotoka kwa Vinicius JR kisha ikaenda kwa ENDRICK ambaye aliimaliza!. Sisi kama BRAZILIANS tunaomba radhi kwa ushindi mdogo siku ya jana 😀 Mwaka 2025 ndio tutaanza kutoa rasmi mateso na darasa la mpira wa miguu Dunia nzima ila kwasasa tunaomba muda kidogo bado tupo kwenye ujenzi wa Timu 😀 Let's Goo!!.
88 2
5 days ago
SIMBA NA AL AHLY WANAENDELEA KUHESABU ZIMEBAKI SIKU 6 KUELEKEA ROBO FAINALI Mnyamaa vipi hapo anaendelea kuokota Asilimia za Ushindi au Tusubiri kwanza __? 😀 Let's Goo!!.
0 1
6 days ago