MPENJA TV

@mpenjatv_

Sports & Entertainment Channel House of Sports News and Interviews Call/WhatsApp!: 255748101101 [email protected] Subscribe our Channel here 👇
Posts
14.3k
Followers
606k
Following
44
JE UNAHITAJI KUKUZA BIASHARA YAKO KWA KUWAFIKIA WATU WENGI?? MPENJA TV NDIO SULUHISHO, KARIBU TUKUTANGAZIE 📢📢📢 ☎️ +255756801143
3 1
12 days ago
JE UNAHITAJI KUKUZA BIASHARA YAKO KWA KUWAFIKIA WATU WENGI?? MPENJA TV NDIO SULUHISHO, KARIBU TUKUTANGAZIE 📢📢📢 ☎️ +255756801143
3 1
12 days ago
JE UNAHITAJI KUKUZA BIASHARA YAKO KWA KUWAFIKIA WATU WENGI?? MPENJA TV NDIO SULUHISHO, KARIBU TUKUTANGAZIE 📢📢📢 ☎️ +255756801143
3 2
24 days ago
SIYO AL AHLY TU, VYAKULA MPAKA VINYWAJI MAMELODI WAMEBEBA. Kikosi cha Mamelodi Sundowns kimewasili Tanzania kujiandaa na mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya robo fainali dhidi ya Yanga SC utakaochezwa machi 30,2024 katika dimba la Benjamin Mkapa. Full Video ipo channel ya @mpenjatv_ . . #MpenjaTvTunazungumzaMichezo .
1,711 48
47 minutes ago
Ukipata ajali barabarani tafadhari usipanic, Sisi ndio kiboko ya Body works & Panel beating. Tupigie Simu: 0715000890/0622120111/0674120000 Tutakupa msaada wa kuvuta gari (Breakdown services) mpaka garage kwetu na kukupa taratibu zote za kufuata ili kutengeneza gari yako haraka. Sisi ni @macgarage_automotive @macautoxpressgarage @mactemba tunafanya kazi na kampuni zote za Bima kwa matengenezo makini na ya haraka. #WeFixcars24hrs #insurancerepairs
3 0
48 minutes ago
WALIOSUBIRIWA KWA HAMU KUBWA HATIMAYE WAMEFIKA. Kikosi cha Mamelodi Sundowns kimewasili Tanzania kujiandaa na mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya robo fainali dhidi ya Yanga SC utakaochezwa machi 30,2024 katika dimba la Benjamin Mkapa. Full Video ipo channel ya @mpenjatv_ . . #MpenjaTvTunazungumzaMichezo .
1,051 9
53 minutes ago
HILI TIZI LA AL AHLY KESHO IFIKE MAPEMA TU. Kikosi cha Al Ahly kimefanya mazoezi ya mwisho katika uwanja wa Benjamin Mkapa kwa ajili ya mchezo wa kesho machi 29,2024 dhidi ya SimbaSC utakaochezwa Saa 3:00 Usiku. Full Video ipo channel ya @mpenjatv_ . . #MpenjaTvTunazungumzaMichezo .
1,495 14
58 minutes ago
𝗩𝗔𝗥 𝗡𝗗𝗔𝗡𝗜 𝗬𝗔 𝗗𝗜𝗠𝗕𝗔 𝗟𝗔 𝗕𝗘𝗡𝗝𝗔𝗠𝗜𝗡 𝗠𝗞𝗔𝗣𝗔 Tayari vifaa kwa ajili ya usaidizi wa waamuzi (𝗩𝗔𝗥) vimeshafungwa katika dimba la Benjamin Mkapa na vitatumika kwenye mechi zote mbili za robo fainali ya ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) SIMBA SC 🆚 AL AHLY YANGA SC 🆚 MAMELODI SUNDOWNS ✍🏾️[ @vanropex ] . . #MpenjaTvUpdates #MpenjaTvTunazungumzaMichezo Follow @mpenjatv_ .
522 9
1 hour ago
Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Simba, Cletous Chama amefanya mazoezi ya mwisho kuelekea mchezo wa ligi ya Mabingwa Barani Afrika dhidi ya Al Ahly hapo kesho. ✍🏾️[ @vanropex ] . . #MpenjaTvUpdates #MpenjaTvTunazungumzaMichezo Follow @mpenjatv_ .
890 3
3 hours ago
Kiungo Mkabaji wa klabu ya Young Africans, Khalid Aucho amerejea rasmi katika mazoezi ya pamoja na wenzake tayari kwa mchezo wa ligi ya Mabingwa Barani Afrika dhidi ya Mamelodi Sundowns. ✍🏾️[ @vanropex ] . . #MpenjaTvUpdates #MpenjaTvTunazungumzaMichezo Follow @mpenjatv_ .
1,764 33
3 hours ago
SINGIDA FOUNTAIN GATE WANAENDELEA VIZURI, KUNA WATU WAMESHIKA NAFASI YAO. Meneja Habari na Mawasiliano wa Singida Fountain Gate FC, Hussein Massanza,ameeleza hali ya kambi na maandalizi ya timu yao kwa ajili ya mechi zijazo. Pia @Massanzajr amefafanua kuwa uamuzi wa uongozi wa klabu kuvunja benchi lote la ufundi na kumuajiri Kocha Jamhuri Kihwelo (Julio) haukuwa kwa lengo la kuinusuru timu kushuka daraja, bali kuleta sura mpya na mbinu mpya za kiufundi ili kufikia malengo ya msimu 2023/24. Full Video ipo channel ya @mpenjatv_ . . #MpenjaTvTunazungumzaMichezo .
89 2
3 hours ago
MWENYEKITI WA WASEMAJI ALLY KAMWE AKIONDOKA NA KIJIJI CHAKE MAENEO YA CHANG’OMBE. Wananchi @yangasc wakiongozwa na Semaji @alikamwe wanaendelea na hamasa na hapa ni Chang’ombe, Temeke, Dar Es Salaam. Yanga wamepania, wanaitaka Mamelodi Sundowns, ni Jumamosi kwa Mkapa. Full Video ipo channel ya @mpenjatv_ . . #MpenjaTvTunazungumzaMichezo .
138 6
3 hours ago