John Bocco

@john_22_bocco

A Winner Never Quits And Quitter Never Wins Challenges Choose Champions
Posts
126
Followers
415k
Following
1,480
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
8,580 0
6 months ago
Haikuwa rahisi kufika hapa tulipoishia ilihitaji nguvu pamoja na umoja🦁hatukufikia malengo kama ilivokuwa ila hatuna sababu yakuweka vichwa chini bali tuinue vichwa vyetu juu na kusonga mbele,🦁tunaamini katika kutimiza malengo yetu bila kujali tunaanguka na kusimama marangapi, kwa pamoja twendeni tukaumalize kwa nguvu zaidi msimu kwa mashindano yaliobaki.Pongezi nyingi sana ziwaende wachezaji,benchi la ufundi,viongozi wetu, Wenyekiti wetu wote wawili pamoja na C.E.O wetu @bvrbvra kwa juhudi kubwa iliyofanyika @moodewji tunashukuru sana🙏🏿 hujawahi kutuacha peke yetu ukaribu wako umekua nguvu siku zote kwa wachezaji wako. Shukrani nyingi sana kwa mashabiki wetu inueni vichwa vyenu juu kabisa na mjivunie mafanikio ya club yenu mmekua chachu kubwa kwenye mafanikio yote kwa vipindi vyote,naamini nyie ni moja ya mashabiki bora kabisa kwa sasa ndani ya Afrika mlijitambulisha wenyewe na timu yenu ikawatambulisha pia kuweni wenye fahari kuwa mashabiki wa SIMBA.. twendeni tukamalize msimu kwa nguvu na umoja💪🏿 Nguvu moja🦁
28.9k 0
1 year ago
Happy birthday C.e.o Mungu akupe maisha marefu na mafanikio tele🎂🎂
15.9k 0
2 years ago
18.8k 0
2 years ago
Umoja wetu ndio mafanikioyetu🦁SIMBA DAY🦁Hamjawahi kutuangusha,tunathamini sana uwepo wenu.This is Simba..🦁 1team1dream 🦁@simbasctanzania
24.4k 0
2 years ago
18.2k 0
2 years ago
🦁1Team1Dream🦁
33.7k 0
2 years ago
Trust yourself and keep going🦁
22.6k 0
2 years ago
Always be No.1 🦁
19.6k 0
2 years ago
24.7k 0
2 years ago
Suluhisho la kwanza kuzipa nguvu elektroniki zako na zenye sifa za kukupa uhakika wa kudumu, Ubora wa hali ya juu kwa bei nafuu! Battery pekee za MO Simba Power! @metlgroup
22.2k 0
2 years ago
14.6k 0
2 years ago