Vous nous avez tous rendus fiers d’avoir atteint ce stade de la #AFCON2023 . Nous sommes heureux pour vous et nous vous souhaitons le meilleur pour le match de samedi.
—
Wanasimba tunajivunia mafanikio ambayo umeyapata hadi kufika hatua hiyo katika #AFCON2023 . Tuna furaha kwa ajili yako na tunakutakia ushindi katika mchezo wa Jumamosi. #WenyeNchi#NguvuMoja
📸 AFP