Timu yetu ya vijana chini ya miaka 20, ilivyoichapa KMC mabao 3-0 kwenye mchezo wa mwisho wa Kundi B, wa Ligi Kuu ya Vijana ya NBC, uliofanyika leo jioni kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi.
@adigol_jr81 ⚽️
@iddy_kichindo ⚽️⚽️
#weareazamfc#timuborabidhaabora
Timu yetu ya vijana chini ya miaka 17, ilivyoichapa Kulangwa FC, ya Mbezi, mabao 6-1 kwenye mchezo wa kirafiki uliofanyika jana asubuhi kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi.