2 years ago
216
0
𝗪𝗔𝗡𝗔𝗝𝗘𝗦𝗛𝗜 𝗪𝗔 𝗠𝗣𝗔𝗞𝗔𝗡𝗜 𝗩𝗜𝗧𝗔𝗡𝗜 𝗟𝗘𝗢. Biashara United kazini leo dhidi ya Al Ahly Tripod katika dimba la Mkapa huku kukiwa na mashabiki 2000. : : Kimsingi Biashara ni timu ambayo bado haina nafasi kubwa ya kufanikiwa katika michuano ya kimataifa ila inafikilisha kile ambacho kilitokea kwa Namungo nao kinaweza kutokea. : : Wanajeshi wa mpakani wamejipanga sawa sawa kwa Biashara nzuri baadae baada ya kujua kuwa Kuna faida na hasara yake. Kila la Kheri Wanajeshi wa Mpakani #Mpoto13 #bakinasisi __kimichezo_zaidi #bakinasisi __ #yangasc #tanzaniabara #simba #daimambelenyumamwiko #sisitunawatu #soccer #africasoccer #afrika #sporthorse #sportarena #sportshqefm #sporthq #maishamichezo #maishanisoka #caf #azamtv #tanfootball #tanzania #egypt #skysportsnews #skysports #brsport #caf