2 years ago
316
1
Wewe Ni Baba Wa Watoto 22 Katika Watoto Wote Hao ,Kwabahati Mbaya 11 Wakawa Na Matatzo Ya Viungo . Lakini kwa Neema Ya Mwenyezi Mungu ,Wakaja Madaktari Bingwa wa Viungo Hospital moja Hko JANGWANI ,Daktari No1. @feisal194 Kutoka Unguja Daktari No2 @auchokhalidofficial Kutoka Uganda. . Wewe kama Baba Ukabahatika kuonana na Madaktari Wote wawili na Ukapewa nafasi ya kuondoka na Dr. Mmoja kutokana na Uhitaji wako wa Haraka ,Kumbuka wanao wapo kwenye Hatari sana .Na Madokta wote ni watàalam kweli kwelii wanatibu na Kufundisha kanuni zote za Afya. . Je! Wewe kama Baba utaondoka na Dr. Yupi? Chagua Dr. Bila kukurupuka. . Nb: Madaktari Gani wanavaa Bukta. . #sisinisokaburudaniinaendelea #bakinasisi #bakinasisi _ #bakinasisi __ #kipakatoka #azphotographer #azamtvapp #azamtv #burudaniisiyoumiza #nguvumoja #daimambelenyumamwiko #tuponawepaleulipo #tunagusamaishayako #wananchi #hainakufeli #zodiacsigns
👏👏👏🔥🔥🔥
2 years ago