2 years ago
119
7
Inasemekana kunguru wa Lubumbashi (TP Mazembe) wako serious na fundi wa kandanda Faysal Salumu(Feytoto) wako katika vita ya kuhakikisha wanaipta saini ya mchezaji huyo..... Wakati wananchi wanawaza Kuwa bora msimu ujao Kwa kushusha makombora mazito huku imekuja pesa ndefu kwajili ya Faysal.. #yangawhatsapponfire🔥🔥 #yangasc #wananchi #sisilatifachallenge #burudaniinaendelea #sisinisokasheva _21 #sisinisokaburudaniinaendelea #burudaniisiyoumiza #yangawhatsapmakaomakuu #sokakilevi #mpiramkubwa
Wakamchukue mzamiru huku fei hauzwi
2 years ago
Fey Toto mwenyewe anasemaje
2 years ago
Hiyo pesa haiendani na thaman ya fundi wa Moira waweke b 2
2 years ago