Kickoffmedia

@kick_offnews

@sport_jungle1  ->  @kick_offnews
Habari za Michezo Ratiba na matokekeo Tetesi za Usijal na usijili Kona zote za 🌎 🌎
게시물
1,377
트래커
1,252
팔로 잉
579
VAR ipo tayari ndani ya dimba la Benjamin Mkapa 🏟 Ijumaa: Simba Sc🇹🇿 🆚 Al Ahly 🇪🇬Jumamosi: Yanga Sc 🇹🇿🆚 Mamelodi 🇿🇦 Tembelea @kick_offnews - - - - - - - - - #fredmaudaku #habarikaupdate #millardayoupdates #mungu #ijumaakareem #mwanzamwanza #hamisamobetto #wemasepetu #kwangwaru #wasafifestival #paranawe #yes #tumewasha #washkajizangu #mchezousiuchezeewewe #wasafimedia #wasafi #kondeboy #wasafifestival2018 #wasafitv #Shilawadu
1 0
23 분 전
Fundi wa Mpira ameumia. Kiungo wa Al Ahly Emam Ashour ameshindwa kumaliza mechi ya FIFA Series kati ya timu yake ya Taifa ya Egypt 🇪🇬 dhidi ya New Zealand kutokana na majeraha ya bega aliyoyapata. Ashour amekimbizwa hospitali kwaajili ya matibabu zaidi. Tembelea @kick_offnews
4 0
4 일 전
Afisa Habari wa Young Africans Ally Kamwe ametangaza viingilio vya mchezo wao wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika dhidi ya Mamelodi 🇿🇦 ➡️ VIP A - 30,000/= ➡️ VIP B - 20,000/= ➡️ VIP C - 10,000/= ➡️ Mzunguko - Bure Tembelea @kick_offnews #TotalEnergiesCAFCL #fredmaudaku #habarikaupdate #millardayoupdates #mungu #ijumaakareem #mwanzamwanza #hamisamobetto #wemasepetu #kwangwaru #wasafifestival #paranawe #yes #tumewasha #washkajizangu #mchezousiuchezeewewe #wasafimedia #wasafi #kondeboy #wasafifestival2018 #wasafitv #Shilawadu
10 0
7 일 전
🚨 JUST IN: Kocha mkuu wa Simba, Abdelhak Benchikha amerejea nchini kutoka kwenye mafunzo ya siku tano ya kuongeza ujuzi alionao, huku akitoa kauli inayoweza kuwapa mzuka mashabiki wa klabu hiyo, kwa kusema licha ya kupangwa na watetezi wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Al Ahly ya Misri, hana presha nao kwa vile wanaijua na kwamba watakula nayo sahani moja. . “Ahly wanajua kuwa wanakwenda kukutana na mpinzani mgumu kwa kiasi gani na Simba itakwenda kupigania nafasi ya kwenda nusu fainali na sio kuhofia hadhi yao. Tunatakiwa kujipanga kwenda kuthibit-isha kwanini tupo kwenye klabu kumi bora Afrika kwa kushindana na klabu namba moja na bila hofu kila kitu kinawezekana,” alisema Benchikha. Tembelea @kick_offnews
4 0
14 일 전
ROBO FAINALI CAFCL 🏆 🇹🇿 YANGA SC 🆚 MAMELODI 🇿🇦 #TotalEnergiesCAFCL
4 0
15 일 전
ROBO FAINALI CAFCL 🏆 🇹🇿 SIMBA SC 🆚 AL AHLY 🇪🇬 #TotalEnergiesCAFCL
5 0
15 일 전
Mchezo wa Ligi ku kati ya Azam dhidi ya Yanga ulikuwa uchezwe Azam Complex umehamishiwa Benjamin Mkapa . Azam FC ambao ndio wenyeji wa mchezo huo wametoa taarifa hii kwenye kurasa zao za mitandao ya kijamii Tembelea @kick_offnews kwa taarifa zaidi - - - - - - - - - - - #fredmaudaku #habarikaupdate #millardayoupdates #mungu #ijumaakareem #mwanzamwanza #hamisamobetto #wemasepetu #kwangwaru #wasafifestival #paranawe #yes #tumewasha #washkajizangu #mchezousiuchezeewewe #wasafimedia #wasafi #kondeboy #wasafifestival2018 #wasafitv #Shilawadu
6 0
16 일 전
Mshambuliaji Prince Dube raia wa Zimbabwe ametangaza kuachana na Azam FC baada ya kudumu klabuni hapo kwa miaka minne Hivi karibuni zilitoka taarifa za mshambuliaji hiyo kuomba kuondoka ,Azam FC walithibitisha taarifa hizo na kuweka wazi kuwa hawamzuii ilataratibu zifuatwe. Jana kwenye mechi dhidi ya Coastal Union [FT 1-1] Dube hakuwa sehemu ya kikosi na leo asubuhi ametangaza kuondoka Klabuni hapo Hii ni ishara kwamba kila kitu kimeenda sawa kati yake na klabu ,lakini naendelea kufuatilia upande wa Klabu ili kufahamu kama upande wao unalitambua hili. @kick_offnews - - - - - - - - #fredmaudaku #habarikaupdate #millardayoupdates #mungu #ijumaakareem #mwanzamwanza #hamisamobetto #wemasepetu #kwangwaru #wasafifestival #paranawe #yes #tumewasha #washkajizangu #mchezousiuchezeewewe #wasafimedia #wasafi #kondeboy #wasafifestival2018 #wasafitv #Shilawadu
3 0
21 일 전
MECHI ZA LEO MACHI 6 ZA LIGI KUU YA NBC 🇹🇿 16:00 Simba Sc 🆚 Tz Prisons 16:00 Mashujaa Fc 🆚 JKT Tanzania 12:00 Azam Fc 🆚 Coastal Union 20:15 Dodoma Jiji 🆚 Tabora Utd #NBCPL 🇹🇿
7 0
22 일 전
🚨 TAARIFA 👇 ▶️Price Dube amewasilisha barua ya kuomba kuvunjiwa mkataba wake na Azam Fc ▶️ Utaratibu wa uvunjwaji wa mkataba wake unaendelea. Tembelea @kick_offnews kwa taarifa zaidi za kimichezo . . . . . . . . . #fredmaudaku #habarikaupdate #millardayoupdates #mungu #ijumaakareem #mwanzamwanza #hamisamobetto #wemasepetu #kwangwaru #wasafifestival #paranawe #yes #tumewasha #washkajizangu #mchezousiuchezeewewe #wasafimedia #wasafi #kondeboy #wasafifestival2018 #wasafitv #Shilawadu
3 0
23 일 전
MECHI ZA LEO ZA CAF CL - MACHI 2 16:00 Mamelodi 🆚 Tp Mazembe 16:00 Pyramids Fc 🆚 Nouadhibou 19:00 Simba Sc 🆚 Jwaneng Galaxy 19:00 Wydad 🆚 Asec Mimosas 22:00 Esperance 🆚 Al Hilal 22:00 Petro Atletico 🆚 Etoile Sahel #TotalEnergiesCAFCL
3 0
26 일 전